KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,679
- 8,866
Nimeona nisema haya, Ukweli uwekwe wazi, uongo utupwe kule, fitna zisipewe nafasi, Siasa za huyu mwenzetu zipuuzwee kabisaa!!
Nimesema haya kwa maana hii...siku za karibuni tumeona mpira wa danadana unavyochezwa kuhusu suala la LUGUMI na swala la INFOSY,Katika vitu havitakiwi kufumbiwa macho
ni hivyo vitu viwili!
Nimesema haya kwa maana hii...siku za karibuni tumeona mpira wa danadana unavyochezwa kuhusu suala la LUGUMI na swala la INFOSY,Katika vitu havitakiwi kufumbiwa macho
ni hivyo vitu viwili!
- MKATABA WA LUGUMI-Mkataba huu umekuwa tata kutokana na kauli nyingi kusigana kuanzia kwa kamati ya Bunge, hadi Wizara husika, IGP Maana Jeshi la Polisi,mpaka kwa katibu wa Bunge! mwisho kawa, Takukuru!Ukweli ni aibu kubwa endapo Rais nchi anapambana na kumaliza kirusi cha miaka 30, lakini ajabu anarudishwa nyuma.au mwenyewe anafika mahali anarudi nyuma kwa sababu ambazo huwezi kuwambia wananchi waliochoka!
- Kwanza cha kujiuliza Ninani mmilikiwa INFOSY je kama ni mtumishi wa umma je katika mali zake kule utumishi aliitaja hii kampuni??Je Kwanini inatajwa katika kashifa ya Lugumi?? kama ilipewa mkataba na Lugumi enterprises je alifanya kazi aliyopewa??napia kama hakutimiza na nimtumishi wa umma nini anangojea kujitumbua au Rais anagoja nini kumtumbua??hana budi kutumbuliwa mapema na Rais na Pia Mh Rais usisubiri ifike Bungeni kwani kule wataivua ngua Serikali yake!!!Usirudi nyuma wala kurudishwa nyuma na wanasiasa Juhudi ulizo anzisha!.Endelea nazo
- LIGUMI NA INFORSY Ni watu wakutumbuliwa hawahitaji degree ya uzamivu katika kutambua kuwa ni wahujumu nchi!