Eternal_Life
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 812
- 1,675
hahaha mie twins sitak !maan na mm twins nitasumbka bure! hata mm vigezo ninavyo !sijabahatika tu bby gal
Huwezi kusumbuka maana tutasaidiana.
hahaha mie twins sitak !maan na mm twins nitasumbka bure! hata mm vigezo ninavyo !sijabahatika tu bby gal
Mungu wangu!!!!Nimevtamani tayari
Waoooo!hahaha tutamu kwakweli !nasema MUNGU anipe mtoto wa kike jaman !hehehe sijui kwakweli itakuwaje
Mkuu definition hii umeitoa wapi?Pedagogy ni elimu ya makuzi ya binadamu kupitia hatua mbalimbali kuanzia utoto.