Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Kale ka salary na kenyewe ni tatizo pia , mwambie pia wazir waongezewe pia salary ili wawe na motisha ya kufundisha, hawezi kupata moraly ya kufundisha wakati mshahara haumaliz mwezi ikifika tarehe 18 tu hoikatika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
nb😛rof Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu

Ndalichako ni jipukatika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
nb😛rof Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
Ndalichako awajibikeKwahiyo unataka nn?
Juzi nilikua naangalia taarifa ya habari ITV wanasema hivyo vitabu wanavyotakiwa kufundishia hakuna hata kitabu kimoja mashuleni, sa hivi wanatumia uzoefu, vile vilivyopo vimeshatolewa kwenye mtaala, sasa hapo unamlaumu kwa lipi mwalimu?katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
nb😛rof Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
Una uhakika mkuu? Mbona sisi tulisoma huko na kupasua vibaya mno.Tatizo ni "Kithungu" masomo yanafundishwa Kimalikia wakati walimu na wanafunzi hawaijui hiyo lugha!?
What do we expect?
Nashauri Shule zote (Form 1-6) waweke wakalimani
Msipende kuangalua upande mmoja je mshahara wa mwalumu wa serekali na private ni sawa hapo ndo utajua kwa nini morali ni ndoho kwa walimu wetu wa serikalikatika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
nb😛rof Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
This is a very serious issue; lina-contribute more than 25% ya matokeo mabovu shule za Serikali. Mtoto aliyeanzia English medium tangu vidudu huwezi kumfananisha na aliyetokea Kiswahili medium wanapoingia F.I. Nina kibinti changu kiko Class V; hizo nondo wanazopewa ni balaa; kuanzia Mathematics, English, etc. For sure it is great; acha tu watupige hizo ada ni halali yao na naomba Serikali isiingilie kabisa hili suala kwa shule binafsi kama walivyotaka kufanya. Waboreshe zao tutapeleka watoto huko.Tatizo ni "Kithungu" masomo yanafundishwa Kimalikia wakati walimu na wanafunzi hawaijui hiyo lugha!?
What do we expect? ...
unijui sikujui bora ukae kimyaUnajitambulisha kuwa "advanced level" halafu unaleta bandiko na kuliacha linaning'inia kama popo bila hata kutoa "the way forward" ya kukabiliana na mtanziko huu wa kielimu tulionao?
Utakuwa ni form six failure toka "kidete secondary" pale Mjimwema Wilaya ya Kigamboni au Somangila Day ya huko huko Kigamboni.
katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
nb😛rof Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
elimu sio mwalimu tuu dogo..na wasiwasi na elimu yako kama ata mzunguko wa elimu hauujui...katika shule mia bora za matokeo shule za serikali ni saba tu
nb😛rof Ndalichako walimu wa serikali wanalala sana Mimi advance nimesoma serikali walimu wengi wa serikali ni wavivu kufundisha na awana morali pia wakuu wa shule wanashindwa kuwasimamia walimu
kilaza huyoUnajitambulisha kuwa "advanced level" halafu unaleta bandiko na kuliacha linaning'inia kama popo bila hata kutoa "the way forward" ya kukabiliana na mtanziko huu wa kielimu tulionao?