Katika safari yangu, nilichokiona maeneo ya Pwani kinasikitisha

Sio kweli kabisa, imani za kupata fedha kwa njia hizo Pwani ni chache sana. Na anayehisiwa kutajirika kwa njia hiyo hutengwa na jamii kiaina, ni sifa mbaya hata kuonesha ushirikina. Hiyo tabia kwa mara ya kwanza naikuta Usukumani na ni jambo la kujisifia kwao.
Nimekuelewa mkuu, this is why nilitumia neno "Nasikia"
 
Taifa kubwa duniani ni Marekani, si kwakuwa lina watu wengi kupita mataifa yote, ama wana ardhi kubwa kuliko yote, au ni taifa tajiri kuliko yote duniani. Bali ni taifa lenye influence kubwa kupita yote duniani. Kitamaduni, kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Kwa vigezo hivyo, jiulize ni jamii ipi ktk hii nchi yenye influence hizo kwa nyingine kwa Tz? Wakati naishi mikoa ya Pwani, sikuwahi hata kuijua miziki na tamaduni za makabila mengine, labda kupitia RTD, nk. Kwa mapito tu.

Ila, mila na desturi za tamaduni za kipwani, haswa za hao waitwao wazaramo, ndo dominant culture nchi nzima. Wa Pwani hawamjui Budagala wa Usukumani, bali Segele na mdundiko inachezwa kote Tz. Unyago wa kizaramo, iko adopted nchi nzima kwa mifumo mipya the so called kitchen party, jamii zote. Kile kifanywacho na wazaramo ndo kioo cha taifa.

Then, wakubeza wazaramo lazima awe smart sana. Lazima awe na uwezo wa kufikiri kwa mawanda mapana. Kisiasa, hili kabila liko na influence tangu kupatikana kwa uhuru hadi awamu ya tano hii. Hivyo si jambo la kirahisi kuyazungumzia mambo ya wapwani kiurahisi kihivyo. Tena, ni jamii zinazoishi kwa kuinjoi sana, maisha ni furaha, na hii ndo free stress zone ya Ukweli.
una matatizo mkuu
kwahiyo mkishacheza mdundiko na baikoko mnapata faida gan kiuchumi?
ndio maana vinyumba vya nyasi tele mnaacha kuwekeza vitu vya maana mnawekeza kwenye baikoko
 
una matatizo mkuu
kwahiyo mkishacheza mdundiko na baikoko mnapata faida gan kiuchumi?
ndio maana vinyumba vya nyasi tele mnaacha kuwekeza vitu vya maana mnawekeza kwenye baikoko
At least ungejishughulisha na kuuelewa ujumbe wa hiyo meseji, hata hivyo kwani hujui uchumi unaweza kunathibishwa na utamaduni? Mfano mzaramo anaweza kubeba mavazi yake akayauza Usukumani na yakauzika vizuri tu, au mmasai akabeba viatu vyake akawauzia Wanyakyusa? Ingawa point yangu haikuwa hiyo.

Nimesema hata Kielimu, kimakazi nk mabadiliko yanaongezeka tu, hata vijijini kuna nyumba bora, kuna viashiria vingi tu vya mabadiliko.
 
MASHAMBA MBONA HAYAKAI PEMBEZON ZA BARABARA HASA BARABARA KUU....HAYO MAENEO YAWAZI NI MALI YA SERIKAI NA MENGI HULIMWA MKONGE UKIONA HAPANA ZAO HILO BASI UJUE RUTUBA HAIJAKAAA POA AMA PAKO MBALI NA MAKAZI YA WATU......MASHAMBA HAYAKAI BARABARI KUU YAPO NDANI NDANI WE SHUKA WAULIZE WENYEJI MASHAMBA YAKO WAPI WATAKUONYESHA.......SWOMA GEOGRAPHY HASA MAZAO UJUE SHUGHULI KUU ZA WAKAZI WA MAENEO HAYO NA KAMA NI KILIMO UTAJUA TUN KILA KITU.........
 
Wadau,

Katika mizunguko yangu ya kikazi kuna kitu nilikuwa nakiangalia hasa katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu.

Huu ni msimu wa kilimo, wakati nikiwa kwenye gari kuanzia kanda ya ziwa hadi Morogoro nimeona kuna pilikapilika nyingi za kilimo. Yaani kuanzia kanda ya Ziwa inaonekana green ya mahindi na mazao mengine.

Lakini maajabu ni kwamba wakati nikitokea Dar es salaam kuelekea Arusha, kuanzia Mlandizi karibu mto Ruvu hadi Segera, kila nikitizama kwenye vijiji vya pembeni nimekuwa nikiona green ya mapori tu.

Ukweli nimejiuliza sana, kwanini naona green ya mapori badala ya Mazao wakati huu ni msimu wa kilimo, au eneo hili ni hifadhi ya taifa? Nikajiuliza, hawa watu hawalimi, lakini pia hawafugi, je wanaishije?.

Lakini maajabu mengine ni kwamba eneo lote hili hasa Chalinze hadi Segera, nyumba asilimia kubwa ni za fito na tope (Mbavu za mbwa tunaita), yaani unakuta nyumba mbavu za mbwa iko katikati ya kijani cha pori lakini hakuna mazao wala maandalizi kwa ajili ya kilimo licha ya kwamba ni msimu wa mvua. Vijiji hivi vina umasikini wa kutupa, utajua kwa kutizama mbavu za mbwa zilizopo.

Ndugu zangu, vijana wenzangu mnaoishi maeneo hayo, mnarudisha taifa nyuma, kwanini hamtaki kutumia ukaribu wenu na Dar es salaam mkauza mazao mkabadilisha hali zenu za maisha? Kwanini wakulima wa Songea wanufaike na uuzaji wa mahindi Dar na nyie msitumie fursa ya ukaribu huo? Kwa tabia hii nina uhakika kila mwaka huwa mnaletewa mahindi ya njaa kutoka serikalini.

Nashauri, itungwe sheria ya kulazimisha watu kufanya kazi. Pia wabunge wa maeneo haya, hasa Ridhiwani na wengine, tafadhali hamasisha watu wako kufanya kazi.
nyumba za mbavu za mbwa sio kwa sababu ya umasikini..bali ni asili ya watu wa huko wanaendeleza mila za babu zao....unaweza kukuta huyo anaeishi kwenye nyumba hizo ana pesa nyingi kushinda wewe mwenye gorofa dar!
 
Kwakukusaidia nikueleze eneo lote kuanzia ruvu-vigwaza kulia kwako ni hifadhi ya taifa(Narco),Vigwaza-Chalinze kushoto na kulia ni eneo la wafugaji(maasai) haparuhusiwi kulima,Tanga ni wazalishaji wakubwa wa mahindi,maharage na matunda,Mananasi unayoyaona kila kona Dar as salaam/Arusha yanatoka Chalinze.Hoja yako haina vielelezo jipange vizuri urudi tena
We ni punguani hoja hapa ni chalinze kwenda segera we unaleta ya ruvu chalinze,kuanzia chalinze hadi mpaka wa tanga/pwani ni RAHCO!
 
MASHAMBA MBONA HAYAKAI PEMBEZON ZA BARABARA HASA BARABARA KUU....HAYO MAENEO YAWAZI NI MALI YA SERIKAI NA MENGI HULIMWA MKONGE UKIONA HAPANA ZAO HILO BASI UJUE RUTUBA HAIJAKAAA POA AMA PAKO MBALI NA MAKAZI YA WATU......MASHAMBA HAYAKAI BARABARI KUU YAPO NDANI NDANI WE SHUKA WAULIZE WENYEJI MASHAMBA YAKO WAPI WATAKUONYESHA.......SWOMA GEOGRAPHY HASA MAZAO UJUE SHUGHULI KUU ZA WAKAZI WA MAENEO HAYO NA KAMA NI KILIMO UTAJUA TUN KILA KITU.........

Acha upupu weweeee,pita msoga kwenda msola hakuna palipolinwa na ni ndanindani
 
Una hoja. Ila umesahau kuwa mazao hutofautiana kulingana na tamaduni. Pia mazao tofauti hulimwa kwa misimu tofauti, hivyo usitaraji kuona watu wakilima kwa msimu mmoja.
 
Wadau,

Katika mizunguko yangu ya kikazi kuna kitu nilikuwa nakiangalia hasa katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu.

Huu ni msimu wa kilimo, wakati nikiwa kwenye gari kuanzia kanda ya ziwa hadi Morogoro nimeona kuna pilikapilika nyingi za kilimo. Yaani kuanzia kanda ya Ziwa inaonekana green ya mahindi na mazao mengine.

Lakini maajabu ni kwamba wakati nikitokea Dar es salaam kuelekea Arusha, kuanzia Mlandizi karibu mto Ruvu hadi Segera, kila nikitizama kwenye vijiji vya pembeni nimekuwa nikiona green ya mapori tu.

Ukweli nimejiuliza sana, kwanini naona green ya mapori badala ya Mazao wakati huu ni msimu wa kilimo, au eneo hili ni hifadhi ya taifa? Nikajiuliza, hawa watu hawalimi, lakini pia hawafugi, je wanaishije?.

Lakini maajabu mengine ni kwamba eneo lote hili hasa Chalinze hadi Segera, nyumba asilimia kubwa ni za fito na tope (Mbavu za mbwa tunaita), yaani unakuta nyumba mbavu za mbwa iko katikati ya kijani cha pori lakini hakuna mazao wala maandalizi kwa ajili ya kilimo licha ya kwamba ni msimu wa mvua. Vijiji hivi vina umasikini wa kutupa, utajua kwa kutizama mbavu za mbwa zilizopo.

Ndugu zangu, vijana wenzangu mnaoishi maeneo hayo, mnarudisha taifa nyuma, kwanini hamtaki kutumia ukaribu wenu na Dar es salaam mkauza mazao mkabadilisha hali zenu za maisha? Kwanini wakulima wa Songea wanufaike na uuzaji wa mahindi Dar na nyie msitumie fursa ya ukaribu huo? Kwa tabia hii nina uhakika kila mwaka huwa mnaletewa mahindi ya njaa kutoka serikalini.

Nashauri, itungwe sheria ya kulazimisha watu kufanya kazi. Pia wabunge wa maeneo haya, hasa Ridhiwani na wengine, tafadhali hamasisha watu wako kufanya kazi.
Ah haaaa!yani wtz sijui tukoje ,yani mtu amepanda paso au Vtz anataka aone mashamba ,hv hujiulizi ukubwa wa gari yenywe na upeo wa macho yako?
 
Tukana uwezavyo, lakini ukweli ndiyo huo. Ukipata trip ya kwenda Tanga tizama kuanzia Mlandizi hadi Segela uone mbavu za mbwa katikati ya pori badala ya kulima
Je, matembe yaliyoko Dodoma,Singida na Shinyanga ni bora kuliko hizo unazoita mbavu za mbwa?
 
Kitu kimoja unatakiwa kujua a
Kabla ya kutoa hoja au kulau ukanda wa Pwani
Saiz Sio msimu wake wakilimo
Usikiurupuke tu nakulaum Wew
 
Niliwahi kuwaza pia kuwa mbona ninaposafiri maeneo hayo sioni mazao kama mahindi, maharage n.k

Nikakumbuka kuwa kumbe Minazi, Mihogo na matunda mengi yanatoka huko.

Kule kilindi Tanga Waarusha walienda huko na kuanzisha mashamba makubwa kweli pamoja na ufugaji wa Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo.
 
Hata human rights ya kidato cha nne inajua kua kumlazimisha mtu kufanya kazi ni kuingilia haki yake ya kibinadamu.

Pia kama watu wapo, hawalimi hawafugi, ila hawajawahi kutaka chakula cha serikali kama Singida na mikoa mingine basi kuna shughuli wanafanya. Pengine wenzako ni wavuvi.

Au labda milioni 50 za kila kijiji zinawapa jeuri.
Kwa hivo unamaanisha kuna vijiji vinapendelewa ?
 
Mi niwaambie kitu nina shamba chalinze heka tisa nimekuwa nikilima mahindi yanakubali kinyama ...mashamba yapo ndani 5 km from main road watu wanalima sana ila mwaka huu imetukatisha tamaha bei ya mahindi watu tumeacha kulima unalimaje wakati stock uliyonayo ndani hujui utaiuzaje
 
Wakwere wanacheza ngoma kila siku huulizi hela wanatoa wapi tehe tehe...kuna ardhi ya kichanga kwa mhogo na nanas we acha tu mite nimelima heka 3 muhogo sehemu wanapaita talawanda
 
Kuna sehemu panaitwa matipwili tkaka matikiti yanayotoka huko mkuranga hawaoni ndani so mtoa mada dont judge the book by its cover
 
At least ungejishughulisha na kuuelewa ujumbe wa hiyo meseji, hata hivyo kwani hujui uchumi unaweza kunathibishwa na utamaduni? Mfano mzaramo anaweza kubeba mavazi yake akayauza Usukumani na yakauzika vizuri tu, au mmasai akabeba viatu vyake akawauzia Wanyakyusa? Ingawa point yangu haikuwa hiyo.

Nimesema hata Kielimu, kimakazi nk mabadiliko yanaongezeka tu, hata vijijini kuna nyumba bora, kuna viashiria vingi tu vya mabadiliko.
ni hoja minor
yaan kuuza vi shanga ndio uinue uchumi?
 
ni hoja minor
yaan kuuza vi shanga ndio uinue uchumi?
Unadhani mila za kiarabu zilizozagaa ulimwenguni kote haziinufaishi nchi ya Saudia kiuchumi? Vipi Kuhusu Uyahudi na Israel kiuchumi? Marekani na umarekani je? Kwa mawanda mapana ulitakiwa uelewe hivyo. Ndio maana nchi kadhaa zina taasisi na idara za kueneza tamaduni zao nje.
 
bado sana hiyo n 3 asilimia kati ya mia kiuchumi
 
Back
Top Bottom