Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,863
Nimekuelewa mkuu, this is why nilitumia neno "Nasikia"Sio kweli kabisa, imani za kupata fedha kwa njia hizo Pwani ni chache sana. Na anayehisiwa kutajirika kwa njia hiyo hutengwa na jamii kiaina, ni sifa mbaya hata kuonesha ushirikina. Hiyo tabia kwa mara ya kwanza naikuta Usukumani na ni jambo la kujisifia kwao.