TPA
Member
- Sep 28, 2016
- 49
- 71
Harbour Master bandari ya Tanga Capt. Andrew Matilya (katikati aliyenyoosha mkono) akieleza jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu walipotembelea eneo litakalojengwa bandari ya Mwambani hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (anayeshughulikia Uchukuzi) Dkt. Mhandisi Leonard Chamriho akisoma taarifa ya Wizara ya utendaji wa bandari ya Tanga kwa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu walipotembelea bandari ya Tanga hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (anayeshughulikia Uchukuzi) Dkt. Mhandisi Leonard Chamriho (wa kwanza kulia) akiangalia alama za mipaka ya eneo litakalojengwa bandari ya Mwambani lililowekwa tangu mwaka 1975 akiwa pamoja na viongozi wa bandari ya Tanga walipotembelea eneo hilo hivi karibuni.