katika malividavi........

Dah,niko ndani ya Amsterdam leo halafu degree ni -2 na nyie mnaleta mambo ya styles wakati mnajua kuwa mtakatifu hajaoa bado si mnanitafutia ugomvi siku ya leo,,Copy Filipo na marejesho

Hivi ngarenaro siku hizi kunaitwa amsterdam? Aisee!
 
Last edited by a moderator:
Kuna moja hiyo yaitwa "kanyaga wese" ni mahsusi wakati wa baridi kali hakuna zile " to and fro"
Halafu kuna hii ya kidhungu inaitwa "simple pendulum", ni maalum kwa walei walio Tilalila

Yaani mwanawane unakandamiza non stop? Aise,huo mshindo unaupataje?
 
Panya kala sumu, mpango mzima lazima arudi tena hata Kama ni mke wa mtu..
 
Habari za jumapili,jana baada ya kutoka jbmpiana mlitumia style gani? Mimi nililala fofofo asubuhi The secretary kaninunia ile mbaya.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…