Kaja omba samahan vip nimkatilie.kaja nashada laasumin unalijua shada.la asumin mkuu ila inategemeana na kosa mfano kukanyagwa nje na kumnyanyasa mzazi wako.hayo hatusamei wakiumen
fact mkuu,yupo aliechepuka nkazipata taarifa,akaja kiri na samahan kibao huk kosa akimbebesha shetan kua ndo alimpitia frm that day up to date,uaminifu ukapotea kwan alichokuj nfanyia juz kat hapa ndo nkaamin msamaha una unafki 90%
Inategemea ntu na ntu kwa waungwana na wastaarabu kuomba samahani ni jambo la kawaida na wala mtu hajioni kapungukiwa na chochote kile kwa kuomba samahani. Mwenzie kamwambia sikupenda ulichokifanya jana au juzi na yeye kwa kujua alikosea anaomba samahani na wala kosa lake linaweza kuwa halina uhusiano wowote ule na usaliti.
Hizi tabia za kishenzi shenzi zinazozidi kushamiri siku hizi za mtu kufanya kosa na kujua kafanya kosa lakini asione umuhimu wa kuomba samahani ndiyo zinafanya mahusiano hayadumu kila mtu yuko matawi ya juu akikosea na kuomba samahani basi atadhalilika sana na kuwa DHAIFU.
Hata mabilionea wanapokosea wanawaomba samahani watu wao wa karibu ili kurudisha amani kwenye mahusiano.
Ustaarabu na uungwana vinazidi kuwa vitu adimu nchini ni ushenzi ushenzi tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.