Katika maisha vitu viwili vinahusika

badshah

Member
Mar 16, 2013
51
32
KATIKA MAISHA VITU VIWILI VINAHUSIKA

Aidha uzaliwe mwanamke au mwanaume. Ukizaliwa mwanamke, uko salama. Ukizaliwa mwanaume, vitu viwili vinahusika.:rockon:

Aidha ukae nyumbani au uende kufanya kazi. Ukikaa nyumbani, uko salama. Ukienda kufanya kazi, vitu viwili vinahusika.

Aidha ufanye kazi ofisini au uwe mwanajeshi. Ukifanya kazi ofisini, uko salama. Ukiwa mwanajeshi, vitu viwili vinahusika.:laser:

Aidha umuuwe mtu au mtu akuuwe. Ukimuuwa mtu, uko salama. Mtu akikuuwa, vitu viwili vinahusika.
Aidha uzikwe au ubakie porini uwe mbolea ya mimea. Ukizikwa, uko salama. Ukibakia kuwa mbolea, vitu viwili vinahusika.:fencing:

Aidha uoteshe mauwa au uoteshe miti. Ukiotesha mauwa, uko salama. Ukiotesha miti, vitu viwili vinahusika.

Aidha utumike kutengenezea samani (furniture) au utumike kutengenezea makaratasi na toilet papers. Ukitumika kutengenezea furniture, uko salama. Ukitumika kutengenezea makaratasi na toilet papers, vitu viwili vinahusika.

Aidha utumiwe na mwanamke au utumiwe na mwanaume. Ukitumiwa na mwanaume, uko salama. Ukitumiwa na mwanamke, vitu viwili vinahusika.

Aidha ufutiwe kwa nyuma au ufutiwe kwa mbele. Ukifutiwa kwa nyuma, uko salama. Ukifutiwa kwa mbele, vitu viwili vinahusika.

Aidha upate kaswende au upate ukimwi, ukipata kaswende, uko salama. Ukipata ukimwi kitu kimoja tu kinahusika. Nacho ni KIFO!!

halloooooooooowww ni balaaaaaaa!!!! http://www.staryte.ucoz.com/forum
 
Hiyo joke mi niliisikia kwa Comedian wa Kinigeria anaitwa Basketmouth. Basi na ile accent ya Kinaija ilikuwa sooooo funny!
 
Daaah kali kaka kucopy kitu kizur kama hichi inaruhusiwa

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
KATIKA MAISHA VITU VIWILI VINAHUSIKA

Aidha uzaliwe mwanamke au mwanaume. Ukizaliwa mwanamke, uko salama. Ukizaliwa mwanaume, vitu viwili vinahusika.:rockon:

Aidha ukae nyumbani au uende kufanya kazi. Ukikaa nyumbani, uko salama. Ukienda kufanya kazi, vitu viwili vinahusika.

Aidha ufanye kazi ofisini au uwe mwanajeshi. Ukifanya kazi ofisini, uko salama. Ukiwa mwanajeshi, vitu viwili vinahusika.:laser:

Aidha umuuwe mtu au mtu akuuwe. Ukimuuwa mtu, uko salama. Mtu akikuuwa, vitu viwili vinahusika.
Aidha uzikwe au ubakie porini uwe mbolea ya mimea. Ukizikwa, uko salama. Ukibakia kuwa mbolea, vitu viwili vinahusika.:fencing:

Aidha uoteshe mauwa au uoteshe miti. Ukiotesha mauwa, uko salama. Ukiotesha miti, vitu viwili vinahusika.

Aidha utumike kutengenezea samani (furniture) au utumike kutengenezea makaratasi na toilet papers. Ukitumika kutengenezea furniture, uko salama. Ukitumika kutengenezea makaratasi na toilet papers, vitu viwili vinahusika.

Aidha utumiwe na mwanamke au utumiwe na mwanaume. Ukitumiwa na mwanaume, uko salama. Ukitumiwa na mwanamke, vitu viwili vinahusika.

Aidha ufutiwe kwa nyuma au ufutiwe kwa mbele. Ukifutiwa kwa nyuma, uko salama. Ukifutiwa kwa mbele, vitu viwili vinahusika.

Aidha upate kaswende au upate ukimwi, ukipata kaswende, uko salama. Ukipata ukimwi kitu kimoja tu kinahusika. Nacho ni KIFO!!

halloooooooooowww ni balaaaaaaa!!!! Forum

umenikumbusha mbali kweli kwa kaka mdomo kapu
 
Dah! Hii kali sana ila nashangaa wengine tunaipenda wengine wanaidis, wengine tukiipenda uko salama, wengine wakiidis vitu viwili vinahusika, upate .......! Hahahahahahahahahahahahaha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom