Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,098
- 10,610
Lakini kila nyakati zina mambo yake s mie huwa siwalaumu vijana wa sasa sababu teknolojia imekuja kufanya mageuzi kwenye kila sekta jambo ambalo vijana wanajikuta wanalazimika kuendana na mfumo huo wa maisha.Tulikuwa mashabiki wa kusoma vitabu. Sio leo mashabiki wa Simba na Yanga pekee.