Katika kila unachokijua kuna kipya ndani.

Katika kila unachokijua kuna kipya ndani.

Faddy

Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
5
Reaction score
1
Hakuna aliyejua mubarak atang'oka wala Gadafi atakufa kifo cha aibu na pia waarab watafanya kinacho endelea mashariki ya kati. Kama mtu anahisi wanahisi anawajua watanzania basi amekosea sana. Kwani wale watanzania wa ndiyo, sawa na wale wa hatuna la kufanya wamekwisha. Tujiandae kwani wenye shamba wanajiandaa kulilima wenyewe.
 
Mkuu ulikusudia kuwasilisha ujumbe gani! Kwa kifupi tundiko lako halieleweki!
 
Kama unakusudia kuwalinganisha watanzania na waarabu basi pole sana.
 
Ni kweli kabisa mambo yamebadilika. Wanasema usipokubali kubadilika,mabadiliko yatakubadili.
 
Back
Top Bottom