Katika Hili kweli PINDA Kapinda kwelikweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika Hili kweli PINDA Kapinda kwelikweli.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngandema Bwila, Mar 2, 2011.

 1. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nashindwa kuelewa kwamba ni uzembe au ulevi wa madaraka au ndio uwezo wake wachambua mabo ulipofikia. Pinda anawezaje kuwambia watu haohao, siku hiyo hiyo, wakati huohuo na sehemu hiyo hiyo, kauli mbili zinazo pingana na kutaka watu wote waamini kuwa yuko sawa. Akizungumzia uchaguzi wa Meya wa Jiji la Arusha Bungeni Pinda alidai, ''Kwa hesabu za kawaida hata mtoto wa darasa la saba anjua kuwa CCM yenye wabunge 16 haiwezi kushindwa na Chadema yenye wabunge 14.'' Lakini Pinda huyo huyo analiambia bunge, Uchaguzi wa naibu meya ulifanyika na diwani wa TLP ambaye yuko mmoja tu aliwashinda wabunge 16 wa CCM, tana kwa kura zote 17!!. Sipendi kuamini kuwa PM ni kihiyo lakini kwa uelewa huu, bora aende akaendeleze ukulima wake huko Katavi.
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Kumbukeni alishakiri kwamba Mafisadi wana nguvu sana kuliko serikali yake.....

  sasa huyu ni Waziri Mkuu kweli au kivuli?
   
 3. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanachosha
   
 4. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kwa upande wake, mshtakiwa huyo aliomba apunguziwe adhabu kwa madai kwamba ana familia inayomtegemea akiwemo mke na mtoto pamoja kusumbuliwa na maradhi ya tumbo ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu sasa.
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mbona sielewi! au channels zimeingiliana?
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  wrong number hiyo.....
   
 7. T

  Tata JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,735
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Wailing PM.
   
 8. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sure, Anafaa ajiunge na kile Kikudi cha wanaolia misibani kwa kukodishwa!

   
 9. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ukistaajabu ya lowasa utaona ya pinda.
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  tehe tehe tehe! Yan umeifanya lnch yng kuwa vry 9c. Thnx sn!
   
 11. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hivi jamani hakuna waziri mkuu kivuli?maana hapa hakuna pm.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Njaa mbaya!!
   
 13. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kazi ipo Tz
   
 14. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmmm! huyo ndio mtoto wa mkulima!
   
Loading...