Picha ya kwanza juu.
Mzunguko wa pesa.
Mama Lishe ananunua mchele shs 3,000 dukani kwa mzawa. Mzawa nae anarudi kununua vitumbua na wali kwa mama lishe. Hapo kuna mzunguko wa pesa.
Picha ya pili. Hakuna mzunguko wa pesa.
Mchina anafungua duka anauza mchele tena bei chee shs 1,000 kushinda wazawa. Mama lishe wanaacha kununua kwa wazawa na kukata mzunguko wa pesa kwani mchina haendi kula kwa mama lishe na mzawa biashara haiendi hawezi tena kununua vitumbua na wali kwa mama lishe. Wanabaki kutizama tu biashara zao zikifa huku mchina akienda nyumbani na kutuma pesa zake nyumbani uchina.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.