Katika hawa mastaa nani Mwenye mvuto (Handsome)

Wakuu katika hii listi ya mastaa wa bongo fleva nnani anamvuto au muonekano mzuri. Chagua namba then mpe asilimia
58e5a0f09c3059fca21863e87db5b6a2.jpg

Kwangu mondray ndio Mwenye muonekano mzur kuliko hao


Mi naona ni Diamond (14), Ney wa Mitego (10), Ali Kiba (15)
 
Back
Top Bottom