Katika hali ya kutatanisha TBC1 warusha mkutano wa CHADEMA badala ya CCM

Mshahara wa dhambi ni mauti.hiyo dhambi ya ubaguzi na kukumbatia lahana ya c.c.m yetu macho.tuwazomee jamani!ohoooooooo!
 
Hata TBC1 ni wenzetu ndio maana leo ipo hivo ilivo.... wamechoka saaana pia sio kwamba wanapenda... tuwape pole tuuu, cha muhimu historia itawakumbuka maana wapo upande wetu na zaidi wakati huu muhimu kwa Almeru :lock1:
 
Sidhani kama TBCCM wamekosea hii ni makusudi. Wanataka kuwachanganya watu wa Arumeru kuwa huyo aliyekuwa anaongea ni Sioi ili watu wasikuwa na uelewa waende na nia moja tu kesho. Otherwise fundi mitambo atatakiwa ajieleze kwa nini asifukuzwe kazi kwa kusea.
 
pamoja na roho mbaya na biase ya tbc kwa cdm leo imewatia aibu pale walipokuwa wanataka kuonyesha mkutano wa leo wakati bwm anaongea lakini kilichotokea badala ya kuonyesha mkutano wa ccm matokeo yake akaonyesha nassari anahutubia.ameona aibu mbaya
mwisho wa ubaya aibu.mkutano wa magamba umekosa coverage tbc kitu ambacho akijawahi kutokea.
Source.tbc news mtangazaji amina mollel

angalie video uone mwenyewe





kujichanganya kwa tbc kweli kulinifurahisha sana na kabla ya kuanza kwa habari hiyo nilikuwa naomba moyoni mwangu kuwa habari hiyo ya kuhitimisha kampeni igome kuonekana au jambo lolote litokee, kumbe mungu ni mkubwa aliskia haja yangu nikaona anaonekana mgombea wa cdm bila kutarajia, ikanibi nihamie station nyingine baada ya kugundua haikuwa tarajio la yule dada aliyekuwa anasoma habari.
 
Last edited by a moderator:
kujichanganya kwa tbc kweli kulinifurahisha sana na kabla ya kuanza kwa habari hiyo nilikuwa naomba moyoni mwangu kuwa habari hiyo ya kuhitimisha kampeni igome kuonekana au jambo lolote litokee, kumbe mungu ni mkubwa aliskia haja yangu nikaona anaonekana mgombea wa cdm bila kutarajia, ikanibi nihamie station nyingine baada ya kugundua haikuwa tarajio la yule dada aliyekuwa anasoma habari.

Amina mollel amepoteza comfo kabisa hata waliporudia hiyo habari wamechemka tena.
Shame on you TBC
 
Magamba wameitaarifu tbc1 waweke kipindi maalum saa tatu kamili kuonyesha hitimisho la kampeni zao. Hata wasipoonyesha kampeni za CDM haijalishi kwani kamanda Nasari walimpa coverage wakati muafaka.Tulianza na Mungu na tunamaliza Na Mungu vilevile

Watabishana na nyakati lakini kamwe hawatashinda
 
Kweli nguvu na njama za shetani huwa zinaumbuka ajabu na haraka sana
 
Aisee nimecheka sana....

Kwa mara ya kwanza nimejuta kukosa habari ya hiyo channel..!
 
Hata jina la hicho kituo unalikosea ndiyo maana unashindwa kufahamu kazi wanayoifanya wametumwa na nani. Inaitwa TB CCM na siyo TBC1. Naamini ujumbe umefika.
 
Wananchi wakimbeba kumpeleka jukwaani kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kijiji cha Makiba kata ya Makiba, Arumeru Mashariki jana. (Picha zote na Bashir Nkoromo)

Hafsa Kazinja wa TOT akikamua Uwanja wa mpira wa Makiba
Mbunge wa Mtera, Mjumbea wa NEC ya CCM, Livingstone Lusinde aka Kibajaji akihutubia Makiba.
Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdalla Jma akihutubia mkutano wa kampeni uwanja wa mpira wa kijiji cha Makiba.
Nchemba akihutubia Makiba

Maelfu ya watu mkutano wa kampeni za CCM Makiba
 
Jamani, mbona tunadanganyana sasa, wana JF tukumbuke kuwa mtandao wetu unakuwa hewani duniani kote, na hii ni kujidharirisha wenyewe kuwa TBC ya watanzania, ni bomu kwa uongo wa mtoa hoja baada ya kuunganisha picha mbili tofauti. angalia Taarifa, pamoja na report zake za mikoani, picha inakuwa na tarehe, na maandishi au dodndoo za habari chini. ila hii kipande cha mpiganaji imechomekwa tu baada ya mtoa hoja kuona picha ya CCM iligoma kuonekana.
tuwe wakweli tunapotoa hoja zetu
 
Back
Top Bottom