TBC wamesema watarusha namna kampeni zimehitimishwa leo, hawajatoa details za kama watarusha kwa chama cha mapinduzi tu au watarusha na za chadema, cha msingi saa tatu kamili tukutane TBC tuone wana kipi kipya, pia nimesikia kwamba na MLIMANI TV nao wanarusha matangazo ya kampeni kuanzia hiyo hiyo saa tatu.