Katika hali ya kutatanisha TBC1 warusha mkutano wa CHADEMA badala ya CCM

Pamoja na Roho mbaya na biase ya TBC kwa CDM leo imewatia aibu pale walipokuwa wanataka kuonyesha mkutano wa leo wakati BWM anaongea lakini kilichotokea badala ya kuonyesha mkutano wa ccm matokeo yake akaonyesha Nassari anahutubia.ameona aibu mbaya
Mwisho wa ubaya aibu.mkutano wa magamba umekosa coverage TBC kitu ambacho akijawahi kutokea.
Source.TBC news mtangazaji amina mollel

Angalie Video uone mwenyewe




mkuu we ni noma,yaani umeichakachua taarifa kwa kutoa kipande ingine ukaificha,sasa watu wakiujua ukweli kwako si maumivu???
 
Last edited by a moderator:
hii taarifa mmeichakachua wenyewe acheni uzushi,taarifa imeanza na mkutano wa magamba na alieongea ni mkapa then wakaja magwanda na alieongea ni nasari,sasa we unatuletea mafinyo finyo hapa ya nini
 
hii taarifa mmeichakachua wenyewe acheni uzushi,taarifa imeanza na mkutano wa magamba na alieongea ni mkapa then wakaja magwanda na alieongea ni nasari,sasa we unatuletea mafinyo finyo hapa ya nini

@Inauma, labda kama ulikuwa unaangalia TBC1 ya nchi nyingine nitakuelewa lakini TBC1 ya Tanzania leo wamelikoroga vilivyo. Badala ya kuweka CD ya mkutano wa CCM huko Arumeru waliweka ya CHADEMA huku Nassari akihubutia. Je, ni tatizo la kiufundi? Ni mkakati wa ccm kuhujumiana? au nao TBC1 wamechoshwa kuburuzwa?

Lakini jambo moja ni wazi, ccm wanatakiwa wavune walichopanda. Chama kimefilisika sasa kinaishi kwa nguvu ya Prof Maji Marefu, sasa leo wameonja maji yenye baraka za mungu.

Ukiangalia viongozi wengi wakubwa ccm wamevaa macheni ya dhahabu na mapete ya ming'aro kama ya Marehemu Shehe Yahya! Nchi imekuwa kwenye giza la uchawi. Aibu tupu.
 
Yote yaliotokea leo ni mungu aliejuu ndie aneona jinsi watoto wake wanavyoteseka. Hivyo ni katika kuwapiga bila wao kujua. Hivyo uyaonayo sasa ni mipango ya mungu na ukombozi ni mwaka 2015 ndio utakapomjua mungu kuwa hawezi kutupa watoto wake kwani kila kitu kitateleza hata wezi watakuwa wanaiba kura zao yaani za ccm wakidhania za chadema. Yote yana mwisho
 
Nahisi mpaka sasa hivi kuna mtu/ watu leo tar. 31/3/2012 ndo siku yao ya mwisho kuwa hapo Tbc1. By the way hivi kuna dhambi gani wangeiacha hiyo clip ya Nassari mpaka mwisho halafu ndo waje kutuomba radhi kwamba wameconfuse picha kulikoni kuikatisha kana kwamba ni picha ya X imerushwa hewani! Kwani yeye Nassari na CHADEMA kwa ujumla hawana uhalali wa kurushwa na TV ya taifa kama Watanzania na walipakodi wa nchi hii? Au ndo ule msemo wa "CCM ina wenyewe, na wenyewe ndo sisi" hivyo wengine hawana haki.
 
There are currently 305 users browsing this thread. (50 members and 255 guests)

hapo kwenye red na wenyewe magamba watakuwepo tu!
 
Pamoja na Roho mbaya na biase ya TBC kwa CDM leo imewatia aibu pale walipokuwa wanataka kuonyesha mkutano wa leo wakati BWM anaongea lakini kilichotokea badala ya kuonyesha mkutano wa ccm matokeo yake akaonyesha Nassari anahutubia.ameona aibu mbaya
Mwisho wa ubaya aibu.mkutano wa magamba umekosa coverage TBC kitu ambacho akijawahi kutokea.
Source.TBC news mtangazaji amina mollel

Angalie Video uone mwenyewe




Huyo Amina Mollel awe makini ktk kazi, Magamba watamkwangua ooh!
 
Last edited by a moderator:
Findi mitambo alifanya makusudi baada yakuona CDM hawaonyweshi popote. Hekaheka kibarua kisijeota nyasi.
 
hii taarifa mmeichakachua wenyewe acheni uzushi,taarifa imeanza na mkutano wa magamba na alieongea ni mkapa then wakaja magwanda na alieongea ni nasari,sasa we unatuletea mafinyo finyo hapa ya nini

Wewe umeangalia taarifa ya saa 4 usiku.Taarifa ya saa mbili walikosea kama kawaida
 

Blog: MICHUZI
Post: Mzee Mkapa afunga kampeni za CCM jimbo la Arumeru mashariki kwa kishindo leo
Link: MICHUZI: Mzee Mkapa afunga kampeni za CCM jimbo la Arumeru mashariki kwa kishindo leo

Mkuu kwani hizo links ni za habari ya TBC1 mpaka unapost mara mbili mbili? Kubali tuu kwamba TBC1 either walikuwa na technical problem au walifanya makusudi kuweka clip ya Chadema badala ya CCM.

Pia imedhihirika kwa ushahidi wao wenyewe kuwa TBC huwa wanakuwa na habari za vyama vya upinzani lakini kwa sababu wanazozijua wao wenyewe hawazitangazi. Clip ya jana ilikuwa ni ushahidi wa moja kwa moja kudhibitisha hili.

Lakini la muhimu hivi karibuni TBC imeshuka sana kiwango hasa kwenye utoaji wa habari. Hakuna mpangilio wa habari, kuna mix up. Mtangazaji anasoma habari tofauti na ile inayoonyeshwa kwenye video. Sijui kama haya yanasababishwa na tatizo ya ukata, lakini kwa stahili hii ni aibu kumtambulisha mtu kuwa hii ndio TV yetu ya taifa.
 
I really feel sorry for the announcers - maana anasema "kutoka Dodoma mwandishi wetu ametuma ripoti ifuatayo" halafu anabakia kukodolea macho kamera mwisho anaamua kuangalia chini kwa aibu! Miye naombea mmoja wao aamue kufyatuka tu "live" na kufanya kama yule mdada aliyesema "I quit this bit.ch"

MSIKILIZE HAPA:

 
Last edited by a moderator:
nza walisema hawatatangaza kampeni za CDM, kwa kuwa wanaamini hawatakuwa salama, naona sasa nasari ameitwa Benjamini w. mkapa
 
Jamani, mbona tunadanganyana sasa, wana JF tukumbuke kuwa mtandao wetu unakuwa hewani duniani kote, na hii ni kujidharirisha wenyewe kuwa TBC ya watanzania, ni bomu kwa uongo wa mtoa hoja baada ya kuunganisha picha mbili tofauti. angalia Taarifa, pamoja na report zake za mikoani, picha inakuwa na tarehe, na maandishi au dodndoo za habari chini. ila hii kipande cha mpiganaji imechomekwa tu baada ya mtoa hoja kuona picha ya CCM iligoma kuonekana.
tuwe wakweli tunapotoa hoja zetu

Jwagu mara ngapi TB CCM wanachanganya habari? Au kwakuwa hii inahusu cdm basi kwako imekuwa uongo, kweli kuishabikia ccm lazima uwe mwendawazimu wa kiwango cha juu.
 
Back
Top Bottom