Katika hali kama hii ungefanyaje?

Ningesema ee Mungu kama Yona aliweza kukaa tumboni mwa samaki nami naomba nikae tumboni mwa mamba na nitoka baada ya siku moja niwe mzima:amen:
 
Nazama chini kabisa ya maji mamba hawezi winda huko kisha naogelea hadi upande wa pili halafu naibuka fasta "usiulize kuhusu pumzi"maana nitatumia hata kijambio kupumua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…