katika basi(daladala)..

NG'ADA

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Messages
153
Points
0

NG'ADA

Senior Member
Joined Sep 2, 2011
153 0
katika basi mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto wake...mtoto akakataa...mama akamwambia "nyonya, kama hutaki nampa anko anyonye"..anko ni kaka mmoja ambaye alikuwa ni abiria aliyeketi na huyo mama....mtoto akanyonya kidogo, akaacha.mama akamtishia tena kumpa anko...ndipo yule kaka akasema "mama uwe na msimamo..unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako, hebu kuwa mkweli!!!"...unanipa ninyonye au nishuke?
 

Forum statistics

Threads 1,392,829
Members 528,722
Posts 34,119,076
Top