Katibu yupi wa wizara ni mwizi wakutupwa........?

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Katika kipindi cha Je Tutafika kinachoongozwa na Mzee Makwaiya aka mwanachama mfu wa CCM Kada wa siku nyingi wa CCM DR Hans Kitine ametoa kauli mbalimbali...Lakini kuna moja alilisisitiza mpaka hakaomba msamaha kama amevuka mipaka..ALIDAI KUWA KUNA KATIBU MMOJA WA WIZARA MOJA KUBWA NI MWIZI MKUBWA WA MALI ZA UMMA NA WATU WENGI WANAFAHAMU EVEN RAIA WA KAWAIDA KAMA SISI,ZAIDI YA YOTE JK NA USALAMA WA TAIFA WANAMJUA LAKINI ANASHANGAA ACHUKULIWI HATUA NA BADO ANAENDELEA KUDUNDA..wanaJF napenda kumjua huyo katibu kwa jina,maana Kitine amemzungumzia kwa uchungu sana....
 
Kama sio blandina Nyoni wa Afya, basi atakuwa Maimuna Tarishi aliyetolewa Tamisemi kwenda Maliasili ili
aendelee kuzitafuna tena!
 
Back
Top Bottom