Katibu Wizara ya Ardhi: Dodoma kuna migogoro mingi ya ardhi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Dkt Allan Kijazi amesema Dodoma kuna migogoro mingi ya ardhi na imekuwa ikisababishwa na uelewa mdogo kuhusu sheria, taratibu na kanuni zinazohusu masuala ya ardhi na kusababishwa wananchi wengi kukosa haki.

Amesema: "Changamoto ni nyingi lakini tunaendelea kuzifanyia kazi kwa kushirikiana na mamlaka zinazohusika nina imani baada ya muda sehemu kubwa ya malalamiko ya wananchi ambayo tumepokea yatapatiwa ufumbuzi.

"Tunachokifanya ni kuboresha mifumo ya kupanga, kupima na kurasimisha, tumepata fedha (Tsh.) bilioni 50 ambazo tunashirikiana na Halmashauri na majiji ili kubaini maeneo ambayo yanafaa kwa ajili ya mwendelezo wa makazi.

Source: EATV
 
Kamji haka dah.....
Jiji la ombaomba
jiji la vipofu
Jiji la wakoma
Jiji la Mirembe (Hospitali ya Taifa ya Wagonjwa wa akili)
Jiji la nyonganyonga (Gereza la Isanga ni gereza la wafungwa waliohujumiwa kunyongwa, na ndio ofisi rasmi ya nyonganyonga)
Dodoma ni jiji la maji yenye ladha mbaya
Dodoma ni jiji lenye vumbi jingi.
Dodoma ni jiji lenye ukame balaaa
 
Kamji haka dah.....
Jiji la ombaomba
jiji la vipofu
Jiji la wakoma
Jiji la Mirembe (Hospitali ya Taifa ya Wagonjwa wa akili)
Jiji la nyonganyonga (Gereza la Isanga ni gereza la wafungwa waliohujumiwa kunyongwa, na ndio ofisi rasmi ya nyonganyonga)
Dodoma ni jiji la maji yenye ladha mbaya
Dodoma ni jiji lenye vumbi jingi.
Dodoma ni jiji lenye ukame balaaa
Nyumba za wageni room ni kama vibox
 
Back
Top Bottom