Katibu wa wazazi Kahama achinjwa kinyama

KAYILAZ

Senior Member
Nov 14, 2014
195
30
Jamani watu wana roho za ajabu. Kitendo kilichofanyika jana usiku ni cha ajabu. Sijui ni wivu? Sijui ni uroho wa madaraka? Katibu wa wazazi ni cheo cha kawaida tu mpaka mauti yamemkuta huyu marehemu muda mfupi baada ya kupewa ukatibu wa wazazi wa CCM Wilaya ya Kahama.

Habari kamili tutajuzana baadae.
 
Waacheni wafu wazike wafu wao. Mungu aiweke Roho ya marehemu mahali apendako....:wave::wave:
 
Back
Top Bottom