Katibu wa Chadema Wilaya ya Mbeya Mjini, Raphael Mwaitege, ajiuzulu

Jemmie

JF-Expert Member
Mar 6, 2018
216
285
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mbeya Mjini, Raphael Mwaitege, ametangaza kujivua wadhifa huo pamoja na nafasi zote alizokuwa anazishikilia ndani ya chama hicho pamoja na kujivua uanachama akidai kuwa anataka kupumzika siasa.

Akizungumza na wandishi wa Habari jijini hapa leo, Mwaitege amesema ameamua kuachana na chama hicho kikuu cha upinzani kutokana na vitisho alivyokuwa anavipata kutoka kwa wanachama wenzake waliokuwa wanamtishia maisha.

Hata hivyo ameweka wazi kuwa, pamoja na kutaka kupumzika siasa ili kunusuru maisha yake, anavutiwa na sera za Chama cha Mapinduzi (CCM).
 
hivi slowslow c alitangaza kuna dirisha dogo la usajili siyo!
 
ni haki yake kidemokrasia! nanyi CCM msilete chuki za kichawi watu wakipingana na sera zenu.
 
Kashimdwa kukisambaratisha chama kuamua kujitesa mwenyewe baharini.
 
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mbeya Mjini, Raphael Mwaitege, ametangaza kujivua wadhifa huo pamoja na nafasi zote alizokuwa anazishikilia ndani ya chama hicho pamoja na kujivua uanachama akidai kuwa anataka kupumzika siasa.

Akizungumza na wandishi wa Habari jijini hapa leo, Mwaitege amesema ameamua kuachana na chama hicho kikuu cha upinzani kutokana na vitisho alivyokuwa anavipata kutoka kwa wanachama wenzake waliokuwa wanamtishia maisha.

Hata hivyo ameweka wazi kuwa, pamoja na kutaka kupumzika siasa ili kunusuru maisha yake, anavutiwa na sera za Chama cha Mapinduzi (CCM).

Mbona maelezo yako yanajihanganya (sehemu nilizoweka rangi nyekundu)?
 
Back
Top Bottom