Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,895

Duh, nadhani alitamani ardhi immeze kwa aibu, tehe tehe tehe tehe

weeee ni donkey me cry

Duh, nadhani alitamani ardhi immeze kwa aibu, tehe tehe tehe tehe
Wewe unayaona maendeleo hmmmm!!!!!!!!! pole sana. unamfahamu mfalme juha katika vazi la UCHI? ndiko uliko wewe.Leo kulifanyika Kongamano kubwa lililoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjro Mhe. Meja Jenerali Mstaafu Said Kalembo. Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa YMCA lilihudhuriwa na Wakuu wote wa Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro, Viongozi na watumishi wote wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wakurugenzi wa Halmashauri zote, madiwani wote walimu kadhaa wa shule za msingi na za sekondari mjini Moshi, wanafunzi kadha wa shule za msingi na za sekondari, viongozi wa vyama vya siasa pamoja na viongozi wa madhehebu ya dini.
Baada ya mada kutolewa uwanja uliwekwa wazi kwa ajili ya waalikwa kuchangia katika mada kuu " MIAKA 50 YA UHURU NA CHANGAMOTO ZAKE" Katika hali ya kutatanisha Katibu wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro Ndg. Basil Lema alipata nafasi ya kuchangia akiwa mtu wa tano. Baada tu ya kujitambulisha mic ilizimika ikabidi aende hadi mbele kabisa akachukua mic ya RC. Ilimchukua pungufu ya dk 1 kuanzisha hoja yake kuhusu uhuru na maendeleo ndipo ghafla RC Kalembo akasimama akasema hajatoa nafasi za watu kuhutubia. Mshereheshaji alichukua mic kutoka mkononi kwa Lema na kuita mchangiaji mwingine.
Lema alirudi kwenye kiti chake kwa aibu na kuonekana wazi kuwa amechemka na aibu zimemjaa usoni. Hii ni matokeo ya kutaka kuchafua hali ya hewa kwenye ukumbi kwa vijembe vya siasa. Inashangaza kuwa kuna watu hawaoni maendeleo ambayo Tanzania imepiga kwa miaka hii 50 ya uhuru.
Kwa miaka 50 wameweza kupima 1% ya ardhi yetuNITAKUWA FAIR MEMA YA SERIKALI ILIYOTUFANYIA KWA MIAKA 50 NI HAYA:
Serikali kwa miaka 50 imeweza kuleta umeme usio wa uhakika kwa asimilia 12 ya watanzania wote na asilimia 88 wanalala gizani.
serikali yetu kwa miaka imeweza kuleta maji ya bomba kwa asimilia 14% ya watanzania wote asimilia 86 wanakunywa maji ya bwawani.
imeweza kutujengea shule za kata ambazo hazina maabara, vitabu wala waalimu ambapo asimilia zaidi ya 80 wanatoka na division zero.
serikali ktk miaka 50 wameweza kujenga asilimia 10 ya barabara za nchi nzima na asilimia 90 ya barabara zote ni mavumbi hayo ni machache ya
mafaniko makubwa ya miaka 50 ya uhuru.
Hayo maneno nenda muwaambie hao nyoka wa mererani wasio na hata darasa moja, tunajua akina mtei and co walivyoifanya keki ya taifa kuwa keki ya wachaga lakini KUNGUNI hamna shukrani kabisa.
Kumbe wewe ndiyo umegeuka kunguni sasa kumekucha Bro tumeamka hakuna kunyonya damu tena. Mafisi wa ahadiHayo maneno nenda muwaambie hao nyoka wa mererani wasio na hata darasa moja, tunajua akina mtei and co walivyoifanya keki ya taifa kuwa keki ya wachaga lakini KUNGUNI hamna shukrani kabisa.
Leo kulifanyika Kongamano kubwa lililoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjro Mhe. Meja Jenerali Mstaafu Said Kalembo. Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa YMCA lilihudhuriwa na Wakuu wote wa Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro, Viongozi na watumishi wote wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wakurugenzi wa Halmashauri zote, madiwani wote walimu kadhaa wa shule za msingi na za sekondari mjini Moshi, wanafunzi kadha wa shule za msingi na za sekondari, viongozi wa vyama vya siasa pamoja na viongozi wa madhehebu ya dini.
Baada ya mada kutolewa uwanja uliwekwa wazi kwa ajili ya waalikwa kuchangia katika mada kuu " MIAKA 50 YA UHURU NA CHANGAMOTO ZAKE" Katika hali ya kutatanisha Katibu wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro Ndg. Basil Lema alipata nafasi ya kuchangia akiwa mtu wa tano. Baada tu ya kujitambulisha mic ilizimika ikabidi aende hadi mbele kabisa akachukua mic ya RC. Ilimchukua pungufu ya dk 1 kuanzisha hoja yake kuhusu uhuru na maendeleo ndipo ghafla RC Kalembo akasimama akasema hajatoa nafasi za watu kuhutubia. Mshereheshaji alichukua mic kutoka mkononi kwa Lema na kuita mchangiaji mwingine.
Lema alirudi kwenye kiti chake kwa aibu na kuonekana wazi kuwa amechemka na aibu zimemjaa usoni. Hii ni matokeo ya kutaka kuchafua hali ya hewa kwenye ukumbi kwa vijembe vya siasa. Inashangaza kuwa kuna watu hawaoni maendeleo ambayo Tanzania imepiga kwa miaka hii 50 ya uhuru.
Duh, nadhani alitamani ardhi immeze kwa aibu, tehe tehe tehe tehe
Shyrose
Hongera kwa kuleweshwa na sumu ya magamba, kwenu kukosolewa ni kuchafua hali ya hewa na ni vema ukautajia umma hayo tuliyopata kwa miaka 50 vinginevyo huna hoja subiri miungu wako wakupe lingine la kubwatuka.Leo kulifanyika Kongamano kubwa lililoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjro Mhe. Meja Jenerali Mstaafu Said Kalembo. Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa YMCA lilihudhuriwa na Wakuu wote wa Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro, Viongozi na watumishi wote wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wakurugenzi wa Halmashauri zote, madiwani wote walimu kadhaa wa shule za msingi na za sekondari mjini Moshi, wanafunzi kadha wa shule za msingi na za sekondari, viongozi wa vyama vya siasa pamoja na viongozi wa madhehebu ya dini.
Baada ya mada kutolewa uwanja uliwekwa wazi kwa ajili ya waalikwa kuchangia katika mada kuu " MIAKA 50 YA UHURU NA CHANGAMOTO ZAKE" Katika hali ya kutatanisha Katibu wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro Ndg. Basil Lema alipata nafasi ya kuchangia akiwa mtu wa tano. Baada tu ya kujitambulisha mic ilizimika ikabidi aende hadi mbele kabisa akachukua mic ya RC. Ilimchukua pungufu ya dk 1 kuanzisha hoja yake kuhusu uhuru na maendeleo ndipo ghafla RC Kalembo akasimama akasema hajatoa nafasi za watu kuhutubia. Mshereheshaji alichukua mic kutoka mkononi kwa Lema na kuita mchangiaji mwingine.
Lema alirudi kwenye kiti chake kwa aibu na kuonekana wazi kuwa amechemka na aibu zimemjaa usoni. Hii ni matokeo ya kutaka kuchafua hali ya hewa kwenye ukumbi kwa vijembe vya siasa. Inashangaza kuwa kuna watu hawaoni maendeleo ambayo Tanzania imepiga kwa miaka hii 50 ya uhuru.

Duh, nadhani alitamani ardhi immeze kwa aibu, tehe tehe tehe tehe
Hukujali hilo kwani anajua wazi wakuu wa mikoa huteuliwa na kiongozi wa mafisadi ambao ni adui wa umma hivyo lazima walambe viatu na matapishi ya aliyewateua nadhani kalembo alitaka kusikia kuwa maendeleo makubwa yamepatikana umeme-giza nchi nzima, bora elimu kila kata na upupu mwingine wote wanaouimba kuwa ni mafanikio ya ccm huku wananchi wakiteseka hamna hoja nyamazeniDuh, nadhani alitamani ardhi immeze kwa aibu, tehe tehe tehe tehe

Hongera kwa kuleweshwa na sumu ya magamba, kwenu kukosolewa ni kuchafua hali ya hewa na ni vema ukautajia umma hayo tuliyopata kwa miaka 50 vinginevyo huna hoja subiri miungu wako wakupe lingine la kubwatuka.

umejitahidi kutaja mabaya mengi ya serikali, sasa kwa kuwa fair hebu taja jema moja tu la serikali katka miaka hii 50 ya uhuru. usiwe mnafiki.