Katibu wa chadema kanda ya kaskazini Amani Golugwa na Naibu Meya wa Jiji Wahudhuria Maadhimisho ya kumbukumbu ya Kimbari

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
chadema1.jpg

chadema2.jpg

Katibu wa Kanda ya Kaskazini Mhe.Amani Golugwa akiwa ameambatana na Naibu Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Viola Likindikoki, leo Aprili 7, 2018 wamehudhuria maadhimisho ya kumbukumbu za Mauaji ya kimbari yaliyotokea Rwanda 1994 (GENOCIDE AGAINST THE TUTSI IN RWANDA 1994).

Maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Arusha Headquarters), yalihudhuriwa na wawakilishi kutoka jumuiya mbalimbali za kimataifa wakiwemo Mabalozi, Wabunge wa EALA na wawakilishi kutoka taasisi za kimataifa.

Wito mkubwa katika maadhimisho ya mwaka huu ambapo watu zaidi ya 1,000,000 waliuawa kinyama imekuwa ni Kukumbuka, Kuungana, Upya (Remember, Unite, Renew) na kuwa mauaji ya namna hii yasitokee Tena Rwanda, Afrika Mashariki na Dunia kwa ujumla.
 
View attachment 737309
View attachment 737310

Mbona madikiteita wanasafisha njia kwa another episode of genocide?
 
Wameongeza kipato chako Kwa leo?
 
Labda mtapata cha kujifunza na kushauri wenzenu ili mjue madhara ya kukosa amani
 
Back
Top Bottom