Katibu wa Bunge Thomas Kashilillah: Mbunge Zitto Kabwe atafutwe na kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge

Atafutwe na nani? Kwa gharama za nani? Kwa nini asiitwe aende mwenyewe kwa gharama zake? Huu ubabe wa hawa ni matumizi mabaya ya kodi zetu! Tuna mahitaji mengi ya kijamii yanayokwama kwa kukosa fedha wakati kodi zetu zinatapanywa na hawa watu!
....Mawazo mazuri sana, kodi zetu wana zi misuse kwa mambo yasiyo na tija.
 
Hivi wakifikishwa huwa wanachapwa bakora au kinatokeaga nini

Maana wanaenda kukuhoji wabunge wenzio walewale

Halafu unaitwa kwa mkwara kama vile kiti chako kitakuwa cha makaa wakati wanakuhoji
 
Huyu ni spika au msemaji wa jeshi la polisi, yeye anatakiwa kupeleka malalamiko polisi na kuwaachia polisi
 
Hii maneno ya Zitto itakuwa imewauma sana!! unajua ukweli daima hupenda hadi kwa mshipa wa fahamu.
 
Spika na Kashillila whatever the name ni watu wa ovyo sana. Anyways endeleeni kuwatafuta msishangae mtakapoanza kutafutwa nyie. FBI njooni haraka kuna wasumbufu wengi awamu hii wametuchosha hawa wasiosikia wasio na huruma watekaji nk
 
Hivi wakifikishwa huwa wanachapwa bakora au kinatokeaga nini

Maana wanaenda kukuhoji wabunge wenzio walewale

Halafu unaitwa kwa mkwara kama vile kiti chako kitakuwa cha makaa wakati wanakuhoji
Hapo sasa. Halafu hizo gharama za kuwasafirisha mpaka DOM analipa mtuhumiwa au Ofisi ya Bunge?
 
Back
Top Bottom