Katibu wa Bunge Thomas Kashilillah: Mbunge Zitto Kabwe atafutwe na kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge

Hapana, afuate kanuni zao walizojiwekea wabunge, aende akasikilize, ajibu yatakayo ulizwa baada ya hapo aache sheria ipime mzani, hakuna haja ya kukaidi
 
Atafutwe na nani? Kwa gharama za nani? Kwa nini asiitwe aende mwenyewe kwa gharama zake? Huu ubabe wa hawa ni matumizi mabaya ya kodi zetu! Tuna mahitaji mengi ya kijamii yanayokwama kwa kukosa fedha wakati kodi zetu zinatapanywa na hawa watu!
Wanipe milioni 10 nimtafute
 
Back
Top Bottom