Katibu wa Bunge Thomas Kashilillah: Mbunge Zitto Kabwe atafutwe na kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashilillah amesema Mbunge, Zitto Kabwe atafutwe na kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge.
zitto.jpg
 
Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashilillah amesema Mbunge, Zitto Kabwe atafutwe na kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge.View attachment 592099

Atafutwe na nani? Kwa gharama za nani? Kwa nini asiitwe aende mwenyewe kwa gharama zake? Huu ubabe wa hawa ni matumizi mabaya ya kodi zetu! Tuna mahitaji mengi ya kijamii yanayokwama kwa kukosa fedha wakati kodi zetu zinatapanywa na hawa watu!
 
Mwingine atafutwe na mwingine akamatwe

Mbona wanashindwa kuwachukulia kama watu wazima kwamba wakiitwa kwa ustaarabu watakwenda? uongozi wa huu muhimili umegeuka kuwa kama mgambo enzi za kodi ya kichwa
 
Back
Top Bottom