Katibu wa BAVICHA Njombe Kusini afariki dunia!

Katibu wa BAVICHA Njombe Kusini afariki dunia!

umetutangulia tu kwani hata sisi safari yetu ni moja isipokuwa tumetofautiana mda tu.
R.I.P KAMANDA!!!!!!!!
 
R.i.p.,bro.Ritz na Zomba musije hapa na makomenti yenu ya ajabu ajabu. Tuko kwenye msiba. Nawaonya tu
 
Pumzika katibu wangu.tutaonana paradiso
 
Buriani Kamanda; natoa pole kwa uongozi wetu mzima wa BAVICHA Taifa pamoja na BAVICHA mkoa wa Njombe.
 
Poleni sana wafiwa,jamani pikipiki is deadly than Aids
 
Poleni sana wafiwa,jamani pikipiki is deadly than Aids
Ingawa kikukweli teknolojia hizi mbili ya Pikipiki na simu za mkononi zimerahisisha sana ukombozi lakini pikipiki zimerudisha pia harakati hizo kwa kuwavunja miguu na ama kuwaua kabisa wananchi waliopasw kushiriki kwenye ukombozi huo!!
 
R.i.p kamanda ,tulikupenda sana lkn mungu kakupenda zaidi
 
Back
Top Bottom