Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif alipongeza jeshi la polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif alipongeza jeshi la polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quinine, Dec 30, 2010.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,202
  Trophy Points: 280
  Kukaa kimya bila kusema chochote baada ya wafuasi wake kuandamana na kupigwa mabomu ni sawa na kukubaliana na kitendo kile.
   
 2. T

  Topical JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kichwa cha habari "hakibebi maudhui ya habari yenyewe"
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,202
  Trophy Points: 280
  Chukulia habari ndiyo yenyewe
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Sasa ulitaka arudie kichwa cha habari au?? Mbona kila kitu kinajieleza hapo. Changia hoja mkuu!!!

  Jamaa anakula bata ikulu ya unguja kasahau wanachama wake!! CCM washa mroga huyo.
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kama maandamano yalikuwa ni ya kihuni, ulitegemea nini toka kwake?
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
   
 7. a

  awtu Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Conflict of interest!!
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Umechakachua habari hii mkuu ifute au iandike upya kama unataka tuichangie. Jamani wana ccm hamuishi kuchaachua tu?
   
Loading...