Katibu Mkuu wa CCM uko wapi? Kuna tatizo chamani!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Wahamiaji kutoka CHADEMA na CUF (Mollel na Mtulia) walipitishwa bila kura za maoni ndani ya CCM kugombea Siha na Kinondoni. Tukavumilia. Tukasonga mbele. Tena, kuna mpango wenye viwango wa kuwapitisha Wahamiaji wengine Mwita Waitara na Kalanga kugombea Ukonga na Monduli bila kura za maoni. Utekelezaji wa mpango umeshaanza.

Waungamkono wa mpango huo wanajificha kwenye Kanuni za Kiuchaguzi za CCM. Eti, Kamati Kuu yaweza kuondoa utaratibu wa kura za maoni. Sasa, lini na wapi Kamati Kuu ya CCM iliketi, iliamua na kuelekeza kuwa Ukonga na Monduli kusiwe na kura za maoni? Halafu, Katibu Mkuu wa CCM na viongozi wengine mpo kimya tu. Kwanini?

Kura za maoni ni mchakato muhimu. Ni mchakato wa kichama na kisiasa. Lazima mgombea apimwe kukubalika kwake kuanzia kwa wanachama wa CCM wa Jimbo lake/Wilaya yake. Halafu, Kamati Kuu huidhinisha. Kura za maoni huonesha picha halisi ya mgombea mtarajiwa wa CCM katika Jimbo husika.

Ukimya huu wa viongozi wetu, huku kukiwa na malalamiko ya makada wetu wa CCM wa Monduli na Ukonga unatokana na kuwa na uhakika wa 'kushinda' chaguzi hizi za marudio? Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu yangu Dr. Bashiru Ally uko wapi? Kuna tatizo chamani!

Majibu ya Jeshi la Polisi kwa Waziri Lugola yamemuimarisha na kumjenga sana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Mkuu, tupa tupa, kumradhi, VUTA-NKUVUTE, na wewe bado haujazipitia kanuni za Chama zinazoongoza mambo haya ya uchaguzi? Tembeeni na katiba na kanuni zinazoongoza chama ili msijeleta hoja ambazo tayari zinajibika ndani ya katiba na kanuni za Chama.
 
Wahamiaji kutoka CHADEMA na CUF (Mollel na Mtulia) walipitishwa bila kura za maoni ndani ya CCM kugombea Siha na Kinondoni. Tukavumilia. Tukasonga mbele. Tena, kuna mpango wenye viwango wa kuwapitisha Wahamiaji wengine Mwita Waitara na Kalanga kugombea Ukonga na Monduli bila kura za maoni. Utekelezaji wa mpango umeshaanza.

Waungamkono wa mpango huo wanajificha kwenye Kanuni za Kiuchaguzi za CCM. Eti, Kamati Kuu yaweza kuondoa utaratibu wa kura za maoni. Sasa, lini na wapi Kamati Kuu ya CCM iliketi, iliamua na kuelekeza kuwa Ukonga na Monduli kusiwe na kura za maoni? Halafu, Katibu Mkuu wa CCM na viongozi wengine mpo kimya tu. Kwanini?

Kura za maoni ni mchakato muhimu. Ni mchakato wa kichama na kisiasa. Lazima mgombea apimwe kukubalika kwake kuanzia kwa wanachama wa CCM wa Jimbo lake/Wilaya yake. Halafu, Kamati Kuu huidhinisha. Kura za maoni huonesha picha halisi ya mgombea mtarajiwa wa CCM katika Jimbo husika.

Ukimya huu wa viongozi wetu, huku kukiwa na malalamiko ya makada wetu wa CCM wa Monduli na Ukonga unatokana na kuwa na uhakika wa 'kushinda' chaguzi hizi za marudio? Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu yangu Dr. Bashiru Ally uko wapi? Kuna tatizo chamani!

Majibu ya Jeshi la Polisi kwa Waziri Lugola yamemuimarisha na kumjenga sana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mzee tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam kwa sasa ukonga
 
Waitara anaondoka chadema anadai chadema hakuna demokrasia,natamani niwepo siku moja kwenye kampeni zake nimuulize vip ulichaguliwa na nani au demokrasia gani imetumika ndani ya ccm na kukupitasha kuwa mgombea?

Waafrika chini ya jangwa la sahara hawana akili,akili zao ni sawa na nyumbu- by European scholars
 
Hii ni Quote ya uongo.
Uongo uko wap? Soma akina Coupland kuhusu Afrika wanasema au wanafananisha waafrika na wanyama wa porini

Ukishwa fananishwa na mnyama na akili zako ni ni sawa na wanyama akina nyumbu
 
Wahamiaji kutoka CHADEMA na CUF (Mollel na Mtulia) walipitishwa bila kura za maoni ndani ya CCM kugombea Siha na Kinondoni. Tukavumilia. Tukasonga mbele. Tena, kuna mpango wenye viwango wa kuwapitisha Wahamiaji wengine Mwita Waitara na Kalanga kugombea Ukonga na Monduli bila kura za maoni. Utekelezaji wa mpango umeshaanza.

Waungamkono wa mpango huo wanajificha kwenye Kanuni za Kiuchaguzi za CCM. Eti, Kamati Kuu yaweza kuondoa utaratibu wa kura za maoni. Sasa, lini na wapi Kamati Kuu ya CCM iliketi, iliamua na kuelekeza kuwa Ukonga na Monduli kusiwe na kura za maoni? Halafu, Katibu Mkuu wa CCM na viongozi wengine mpo kimya tu. Kwanini?

Kura za maoni ni mchakato muhimu. Ni mchakato wa kichama na kisiasa. Lazima mgombea apimwe kukubalika kwake kuanzia kwa wanachama wa CCM wa Jimbo lake/Wilaya yake. Halafu, Kamati Kuu huidhinisha. Kura za maoni huonesha picha halisi ya mgombea mtarajiwa wa CCM katika Jimbo husika.

Ukimya huu wa viongozi wetu, huku kukiwa na malalamiko ya makada wetu wa CCM wa Monduli na Ukonga unatokana na kuwa na uhakika wa 'kushinda' chaguzi hizi za marudio? Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu yangu Dr. Bashiru Ally uko wapi? Kuna tatizo chamani!

Majibu ya Jeshi la Polisi kwa Waziri Lugola yamemuimarisha na kumjenga sana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mzee tupatupa wa Monduli na Ukonga Dar as Salaam "TUTAKUSHUGHULIKIA"
 
CCM ikijifanya laini laini kitafutika, kwa maana vibaraka wanaotumiwa na nguvu fulani kutoka nje ya mipaka yetu ziko makini ili kuhakikisha chama hichi kikongwe barani Afrika kinatokomea, kwa mbinu zozote haswa mbinu chafu.

Wahamiaji munakaribishwa karibuni ndugu makomredi na mutabaki na nyadhifa zenu.
 
Ambacho wewe hujui ni kuwa hiyo ni biashara kweli na inalipa sana.

Mbunge ili ahame analipwa si chini ya Mil 500 hapo Polepole lazima achukue kabisa 10% na hiyo huchukuliwa toka kwa Mbunge alielipwa,kisha Mbunge huyo hutakiwa kulipa karibu milioni 100 kwa vigogo wa chama ili wapindishe kanuni kuhakikisha anarudishwa yeye.

Hapo ndipo watu wanapigia pesa,ninyi mtaona kalipwa mil 500 lkn anaambulia kama mil 350,zingine zinagawiwa kwa wawezeshaji(wazee wa logistic)

Wapambe wa chama endeleeni kuimba Iyena iyeba ,wenye akili watengeneze pesa.
 
Tulieni tu kwa Sasa anayetoa maamuzi ni mtu mmoja tu!
Mambo yenu ya kukaa kamati sijui sekritariet tupa huko

Ova
 
Uongo uko wap? Soma akina Coupland kuhusu Afrika wanasema au wanafananisha waafrika na wanyama wa porini

Ukishwa fananishwa na mnyama na akili zako ni ni sawa na wanyama akina nyumbu
Alisema wapinzani wa tanzania ndio anawafananiisha na nyumbu.
 
Wahamiaji kutoka CHADEMA na CUF (Mollel na Mtulia) walipitishwa bila kura za maoni ndani ya CCM kugombea Siha na Kinondoni. Tukavumilia. Tukasonga mbele. Tena, kuna mpango wenye viwango wa kuwapitisha Wahamiaji wengine Mwita Waitara na Kalanga kugombea Ukonga na Monduli bila kura za maoni. Utekelezaji wa mpango umeshaanza.

Waungamkono wa mpango huo wanajificha kwenye Kanuni za Kiuchaguzi za CCM. Eti, Kamati Kuu yaweza kuondoa utaratibu wa kura za maoni. Sasa, lini na wapi Kamati Kuu ya CCM iliketi, iliamua na kuelekeza kuwa Ukonga na Monduli kusiwe na kura za maoni? Halafu, Katibu Mkuu wa CCM na viongozi wengine mpo kimya tu. Kwanini?

Kura za maoni ni mchakato muhimu. Ni mchakato wa kichama na kisiasa. Lazima mgombea apimwe kukubalika kwake kuanzia kwa wanachama wa CCM wa Jimbo lake/Wilaya yake. Halafu, Kamati Kuu huidhinisha. Kura za maoni huonesha picha halisi ya mgombea mtarajiwa wa CCM katika Jimbo husika.

Ukimya huu wa viongozi wetu, huku kukiwa na malalamiko ya makada wetu wa CCM wa Monduli na Ukonga unatokana na kuwa na uhakika wa 'kushinda' chaguzi hizi za marudio? Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu yangu Dr. Bashiru Ally uko wapi? Kuna tatizo chamani!

Majibu ya Jeshi la Polisi kwa Waziri Lugola yamemuimarisha na kumjenga sana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Nadhani Wamewaiga CDM walipenda staili waliyotumia kumpata mgombea wao 2015!
 
Alisema wapinzani wa tanzania ndio anawafananiisha na nyumbu.
Waafrika waliopo chini ya jangwa la Sahara hawana akili,akili zao ni kama nyumbu,hawana uwezo wa kufikiria,hawana wanalolifanya hapa duniani,hawana mchango wowote hapa duniani,wanasindikiza dunia,

Waafrika waliopo chini ya jangwa la Sahara hawana akili,elimu mbovu,umasikini umekithiri lakini wanatumia mamilion ya Pesa kurudia uchaguzi wa mtu Yule yule kwa interest zake

Hizo bilioni zinazotumika kufanya uchaguzi na kununua wapinzani ni bora wangezigawa kwa kila kijiji ili wananchi waamini ahadi ya Rais

Lakini kwa vile tupo chini ya jangwa la hasara ngoja tusubiri miujiza kwenye maendeleo na viwanda
 
Back
Top Bottom