Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,175
- 45,898
kwani neno "kisasa" kwako lina maana gani mkuu,ukielewa maana pana ya neno kisasa basi hutochekaAseee, eti kiwanda cha kisasa, ahahahaaa this is Tanzania buana!
au labda nikusaidie,jambo lolote linapoitwa la kisasa basi kwa kifupi humaanisha ya kwamba jambo hilo kwa ujumla wake linaendana na wakati uliopo,kwa mantiki hiyo basi ni sahihi hicho ni kiwanda cha kisasa kwa sababu tunaishi dunia ya gari za umeme na Gas
nikwambie tu hata wewe ukichukua Ng'ombe watano madume na watano majike uwafungie bandani 24hrs na uwapelekee chakula basi unatosha kuitwa mfugaji wa kisasa