Katibu Mkuu wa CCM Mukama ni kiongozi shupavu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu Mkuu wa CCM Mukama ni kiongozi shupavu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Saranda, Aug 16, 2012.

 1. S

  Saranda Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wanaoweza kuchanganua masuala ya kijamii na kisiasa ni dhahiri kwamba toka katibu Mkuu Wilson Mukama, utendaji ndani ya CCM umekuwa na tija. Komrade Mukama ni kiongozi shubavu, mwenye busara na anaesikiliza sana na kuongea kidogo. Ana sense of humor as well as wisdom. Tunamuombea afya njema na maisha marefu
   
 2. d

  dmvuno Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa hata mimi nimemkubali. Aje kusaidia hapa DMV maana CCM hapa wanapigwa vita na watu waliojificha gizani, sijui wanafaidika nini
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ni ukweli usiokuwa na ubishi viongozi wote wa ccm ni SHUBAVU sio mukama Peke yake hata mwenyekiti wao Na Nape lakini sio Viongozi SHUPAVU
   
 4. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Viongozi shubavu ni wengi sana hata nape ni shubavu sana
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Leo usirudi lumumba kudai chako kwani hutapata chochote utaishia kutukanwa na wakina Nape kwasababu umewaita SHUBAVU
   
 6. H

  Helios JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  sera aliyoingia nayo ya kuvua magamba iliishia wapi?
   
 7. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tena sio Mkama peke yake hata Makamba alikuwa SHUBAVU
   
 8. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  lakini yote mia SHUBAVU kuliko wote ni NAPE, then Makamba (Senior), Chiligati bora kidogo hakuwa SHUBAVU sana yeye alikuwa na busara
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Angekuwa SHUPAVU Mukama asingeitwa mzigo kwa ccm na wenye chama!! He will be well advised to retire to his home village peacefully!!
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  ok.ni mtazamo mzuri
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hata mimi namuaombea maisha marefu na utumishi mrefu ndani ya CCM. Wanasema "Do not interrupt your enemy when he's making mistakes"
   
 12. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mukama ameshindwa hata kumhandle nape ushupavu wake uko wapi
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu hajasema Shupavu wewe ndio unakosea kasema SHUBAVU ambayo ni kweli
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ukisoma kichwa cha habari cha hii topic kasema shupavu..au hata kiswahili kinakua ni kigumu kusoma?
   
 15. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kweli ni kiongozi shubavu, ndio maana tangu aingie na sekretarieti yake speed ya ccm kuingia kaburini imeongezeka!
   
 16. b

  baba koku JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ni political CEO mzuri hapa nchini kwani ana upeo mzuri wa political management
   
 17. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,717
  Trophy Points: 280
  Mukama huyu huyu chapombe au mwingine?
   
 18. b

  baba koku JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ni political CEO mzuri hapa nchini kwani ana upeo mzuri wa political management>. Tusiwe na mitizamo ya kifitina au kichonganishi au kishabiki bali tuangalie historia yake katika utendaji
   
 19. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  yap tumuombee ili azidi kutusafishia njia 2015 kwa uoga uoga wake.......
   
 20. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mukama had to fail mainly because he was Kingunge's creation!!
   
Loading...