Katibu Mkuu wa CCM Mukama ni kiongozi shupavu

Kwa wale wanaoweza kuchanganua masuala ya kijamii na kisiasa ni dhahiri kwamba toka katibu Mkuu Wilson Mukama, utendaji ndani ya CCM umekuwa na tija. Komrade Mukama ni kiongozi shubavu, mwenye busara na anaesikiliza sana na kuongea kidogo. Ana sense of humor as well as wisdom. Tunamuombea afya njema na maisha marefu

Mungu wangu... the blind don't see
 
Labda kama ushupavu wake ni kumruhusu Nape aropoke kila muda!
 
shubavu ina maana gani?
Hivi kuna tovuti ya kiswahili kwa masuala kama haya?
 
Kwa wale wanaoweza kuchanganua masuala ya kijamii na kisiasa ni dhahiri kwamba toka katibu Mkuu Wilson Mukama, utendaji ndani ya CCM umekuwa na tija. Komrade Mukama ni kiongozi shubavu, mwenye busara na anaesikiliza sana na kuongea kidogo. Ana sense of humor as well as wisdom. Tunamuombea afya njema na maisha marefu
Siyo siri mimi nilianza kumvulia kofia pale alipowashtukia wale makomandoo wa CHADEMA waliotoka kwenye mafunzo Afghanistan na Libya wakati wa uchaguzi wa Igunga
 
Back
Top Bottom