CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
Mimi sioni Chadema anataka ajibiwe nini na Chama tawala, kwa maana kuwa sioni swali lake zaidi ya kupanda kwenye majukwaa na kutoa lugha chafu za kuhatarisha maisha na amani ya nchi.
majibu yao walishayapata Arusha na sasa dawa yao ipo jikoni na siku zao zinahesabika.
Ama....mimi nildhani baada ya Arusha Polisi wenu wamejifunza kumbe bado?