Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,717
- 11,331
Bashiru ni very intelligent naona anatumia mbinu ya Kinana enzi za mkwere
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru amenukuliwa akisema eti wale wabunge wanaoikosoa sana serikali bungeni ndio wanaotakiwa, la sivyo CCM itajifia!
Katibu mkuu huyu inaonekana haendani na Magufuli kwenye mambo mengi, kuanzia kwenye suala la katiba mpya ambayo alinukuliwa akisema hii haifai kwa mfumo wa vyama vingi akihojiwa na Azam Tv
Magufuli na wengine wanataka katiba hii hii inayompa rais madaraka mengi pamoja na nguvu nyingi pia CCM
Lingine ni suala la watendaji wa Serikali kujihusisha na mambo ya chama, katibu huyu alipiga marufuku watu kama wakuu wa wilaya na mikoa kutojihusisha na siasa za vyama
Hili nalo ni kinyume na itikadi za Magufuli ambaye anachanganya sana mambo ya chama na serikali, ikiwemo anateua makada wa vyama katika nafasi mbalimbali na mashirika ya umma , hata wakurugenzi wa Halmashauri, pia shughuli za CCM kuzifanyia Ikulu
Kingine ni hii kusema kuwa eti wabunge kama Nape n Bashe ndio wanaotakiwa CCM, wabunge wanooonekana ni waasi mara nyingi na hata Nape alipokosoa bungeni ishu ya korosho na kusema CCM itashindwa uchaguzi kusini, JPM alitamka na bila kumtaja jina na kusema aondoke....yaani hamtaki kabisa
Pia JPM amekua akionekana kuwatisha wabunge kwa njia indirect mara kadhaa kwa kutamka kila mara kuwa Naangalia Sana Bunge ( kutuma ujumbe wa Be careful, i'm watching you)
Pia kuna kipindi alimtuma prof. Mpango awapelekee ujumbe live bungeni baada yq kusikika wakikosoa mpango wa ujenzi wa Stieglers Gorge

Kwa hiyo unamanisha Jiwe ni kama.kapi tu.Mtu yeyote anayeelewa maana ya siasa hawezi kuendana na Jiwe. Jiwe hakidhi kigezo chochote cha kuwa mwanasiasa wala kuwa kiongozi bora.
CCM Lowasa aliamini bila yeye na Kingunge CCM inakufa Sababu waliamini kuwa wao ndio wenye hisa nyingi CCM kilichowakuta hawasau milele Na CCM iko pale pale.
CCM imezaliwa 1977, Nape na Bashe labda walikuwa wanatambaa wakati huo. Ni makosa makubwa kudhani kuwa chama kikongwe kinaweza kufa kwa sababu tu ya wabunge wawili.
Kumbe Twaweza wako sahihi. Kwani Zitto alifukuzwa au alijifukuza?! Katiba ya Chadema inasemaje mwanachama anapopeleka shauri mahakamani dhidi ya Chama na akashindwa kesi?!Wanaishangaa Demokrasia ilivyoshamiri ndani CCM walikuwa wanafikiri ni chama cha kufukuzana kama walivyomtimua Zitto.
Kalagabaho. Utaishi mpaka siku yako ya mwisho duniani, na pengine utakiacha hiki chama. Fanya kazi, matatizo yako sio ya kila mtu.Chama kimekufa siku nyingi sana, unachokiona na unaowaona ni waigizaji tu wanaotumia mabavu na uonevu kwa wasiokuwa na hatia
Baba anaangalia TV watoto wanaleta ugali mezani kwa viboko(nidhamu feki) au kwa kupenda( nidhamu halisi).Kama hawakuhama CCM unategemea nini?Nyie hamjaelewa mbinu ya ccm..
Hawa jamaa wanabembelezwa kwa mda huu mfupi wa kampeni watatumiwa na hapo baadae watatupwa ile mbaya na kama hamuamini mimi bado nipo mtakuja kuamini ninachosema.
Nimesikia eti wataenda kufanya kampeni huko kigoma maana wanaushawishi baada ya hapo mtaona kitakachotokea.
Kalagabaho. Utaishi mpaka siku yako ya mwisho duniani, na pengine utakiacha hiki chama. Fanya kazi, matatizo yako sio ya kila mtu.
Hahahaha pole sana mkuu. Naona unaitumia jamii forum kama sehemu ya kupunguzia hasira zako za maisha.Nyamaza we chakula!! Najua jinsi unavyoishi kwa mgongo wa chama na umefanya ndo pumzi yako!! Mimi ni mtu huru na sina chama chochote nilichokuwa attached nacho kama wewe!! Na kazi zangu, nitafanya tena bila influence yoyote ya vyama vya siasa. Ukisikia ccm inakufa unabanwa na mharo maana unajua ndo mwisho wa maisha. Come on, live a free life mum!
Hahahaha pole sana mkuu. Naona unaitumia jamii forum kama sehemu ya kupunguzia hasira zako za maisha.
Nimeamini ndio maana Chadema hawawezi kuandika Zinjanthropus.Kumbe Twaweza wako sahihi. Kwani Zitto alifukuzwa au alijifukuza?! Katiba ya Chadema inasemaje mwanachama anapopeleka shauri mahakamani dhidi ya Chama na akashindwa kesi?!
Mkuu punguza hasira, maisha ndio haya haya.Ningekuwa mtu wa mipasho ningekujibu, ila I cant argue with a shithole like you mammy!!