wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,578
- 29,455
Mh.alimaanisha hivyo hivyoMkuu, huku kwetu neno fulani anatembea na fulani tuna maanisha ni kuivunja ile amri ya maulana pendwa kabisa.
Sasa sijui una maanisha hivyo?
Mh.alimaanisha hivyo hivyoMkuu, huku kwetu neno fulani anatembea na fulani tuna maanisha ni kuivunja ile amri ya maulana pendwa kabisa.
Sasa sijui una maanisha hivyo?
Hata Lowassa aliaminishwa anahitajika mno na ccm kuliko mtu yoyote lakini alikatwa kama hawamjui.Katibu mkuu huyu inaonekana haendani na Magufuli kwenye mambo mengi, kuanzia kwenye suala la katiba mpya ambayo alinukuliwa akisema hii haifai kwa mfumo wa vyama vingi akihojiwa na Azam Tv
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru amenukuliwa akisema eti wale wabunge wanaoikosoa sana serikali bungeni ndio wanaotakiwa, la sivyo CCM itajifia!
Katibu mkuu huyu inaonekana haendani na Magufuli kwenye mambo mengi, kuanzia kwenye suala la katiba mpya ambayo alinukuliwa akisema hii haifai kwa mfumo wa vyama vingi akihojiwa na Azam Tv
Magufuli na wengine wanataka katiba hii hii inayompa rais madaraka mengi pamoja na nguvu nyingi pia CCM
Lingine ni suala la watendaji wa Serikali kujihusisha na mambo ya chama, katibu huyu alipiga marufuku watu kama wakuu wa wilaya na mikoa kutojihusisha na siasa za vyama
Hili nalo ni kinyume na itikadi za Magufuli ambaye anachanganya sana mambo ya chama na serikali, ikiwemo anateua makada wa vyama katika nafasi mbalimbali na mashirika ya umma , hata wakurugenzi wa Halmashauri, pia shughuli za CCM kuzifanyia Ikulu
Kingine ni hii kusema kuwa eti wabunge kama Nape n Bashe ndio wanaotakiwa CCM, wabunge wanooonekana ni waasi mara nyingi na hata Nape alipokosoa bungeni ishu ya korosho na kusema CCM itashindwa uchaguzi kusini, JPM alitamka na bila kumtaja jina na kusema aondoke....yaani hamtaki kabisa
Pia JPM amekua akionekana kuwatisha wabunge kwa njia indirect mara kadhaa kwa kutamka kila mara kuwa Naangalia Sana Bunge ( kutuma ujumbe wa Be careful, i'm watching you)
Pia kuna kipindi alimtuma prof. Mpango awapelekee ujumbe live bungeni baada yq kusikika wakikosoa mpango wa ujenzi wa Stieglers Gorge
Wanambembeleza tuu awapigie kampeni baada ya hapo nu kikaragosiNa amesema Nape ni moto zaidi!!!
Duuh huu ni uzi mpya au wa Thompson, mbona mambo gongana!CCM Lowasa aliamini bila yeye na Kingunge CCM inakufa Sababu waliamini kuwa wao ndio wenye hisa nyingi CCM kilichowakuta hawasau milele Na CCM iko pale pale.
Bashiru anajielewa siyo bogus kama wana CCM wengi mlivyo anajua maana ya kuikosoa serikali.mtabaki hivyohivyo.CCM Lowasa aliamini bila yeye na Kingunge CCM inakufa Sababu waliamini kuwa wao ndio wenye hisa nyingi CCM kilichowakuta hawasau milele Na CCM iko pale pale.
Hakika,unafiki tuuu.nadhani anatafuta tuu njia ya kuwapumbaza raia ili yeye aonekane anajitenga na jiwe kiitikadiZilongwa mbali zitendwa mbali
CCM Lowasa aliamini bila yeye na Kingunge CCM inakufa Sababu waliamini kuwa wao ndio wenye hisa nyingi CCM kilichowakuta hawasau milele Na CCM iko pale pale.
Tena alifikia mahali anasema " nimemwambia na baba yake amuonye ...." sasa hapo si mambo hadharani? nani yuko na mwanae wa kike Bungeni zaidi ya Abdalla Bulembo na Binti yake?Eti kuna mbunge wa ccm anatembea na mbunge upinzani namtaka aache mara moja yaani jamaa lile kwenye kichwa ni kweupe kabisa
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru amenukuliwa akisema eti wale wabunge wanaoikosoa sana serikali bungeni ndio wanaotakiwa, la sivyo CCM itajifia!
Katibu mkuu huyu inaonekana haendani na Magufuli kwenye mambo mengi, kuanzia kwenye suala la katiba mpya ambayo alinukuliwa akisema hii haifai kwa mfumo wa vyama vingi akihojiwa na Azam Tv
Magufuli na wengine wanataka katiba hii hii inayompa rais madaraka mengi pamoja na nguvu nyingi pia CCM
Lingine ni suala la watendaji wa Serikali kujihusisha na mambo ya chama, katibu huyu alipiga marufuku watu kama wakuu wa wilaya na mikoa kutojihusisha na siasa za vyama
Hili nalo ni kinyume na itikadi za Magufuli ambaye anachanganya sana mambo ya chama na serikali, ikiwemo anateua makada wa vyama katika nafasi mbalimbali na mashirika ya umma , hata wakurugenzi wa Halmashauri, pia shughuli za CCM kuzifanyia Ikulu
Kingine ni hii kusema kuwa eti wabunge kama Nape n Bashe ndio wanaotakiwa CCM, wabunge wanooonekana ni waasi mara nyingi na hata Nape alipokosoa bungeni ishu ya korosho na kusema CCM itashindwa uchaguzi kusini, JPM alitamka na bila kumtaja jina na kusema aondoke....yaani hamtaki kabisa
Pia JPM amekua akionekana kuwatisha wabunge kwa njia indirect mara kadhaa kwa kutamka kila mara kuwa Naangalia Sana Bunge ( kutuma ujumbe wa Be careful, i'm watching you)
Pia kuna kipindi alimtuma prof. Mpango awapelekee ujumbe live bungeni baada yq kusikika wakikosoa mpango wa ujenzi wa Stieglers Gorge
Sijawahi kusikia eti itikadi za Magufuli!Hili nalo ni kinyume na itikadi za Magufuli
........."watukutu"....Mleta mada badilisha kichwa cha habari, ulichokiweka hakina ukweli hata chembe. KM hakusema hivyo amesema Bashe NA Nape sio wajeuri bali wadadisi.
Ila hii demokrasia ya 2015 iliyoruhusu kila anaejisikia achukue fomu ya kugombea uraisi imesha tu-cost tayari!Wanaishangaa Demokrasia ilivyoshamiri ndani CCM walikuwa wanafikiri ni chama cha kufukuzana kama walivyomtimua Zitto.
Hii inaonyesha watanzania bado tuko pamoja japo itikadi zetu ni tofauti!Tena alifikia mahali anasema " nimemwambia na baba yake amuonye ...." sasa hapo si mambo hadharani? nani yuko na mwanae wa kike Bungeni zaidi ya Abdalla Bulembo na Binti yake?
Ila vijana wabunge wa Upinzani nao wamezidi bana! mbona mnawakanyaga sana hao wabunge wa kike wa CCM? ona mpaka Chama kama chama kinaona wivu kupitia mwenye kigoda mwenyewe!