Katibu Mkuu wa CCM, Aondoke?

Ngoja na mimi nianze kupondea JF kama wanasisiem hapa

yaani inakuwaje sasa hivi ni wanasisiemu tu ndio wanachangia hapa kwenye mtandao? inabidi kuwe na balance? hii JF inaanza kukosa muelekeo sasa, mbona hakuna vyama vingine hapa?

yaani huyu KadaMpinzani yuko all over na analeta tu mambo ya sisiemu? hii JF imekosa mwelekeo. BTW mbona watu wanakuwa banned kisha wanarudi na majina mengine?

Mgaya,

Kwi kwi kwi!! Mimi sio mwana CCM ila naijua katiba ya CCM kama ninavyoijua katiba ya CHADEMA. Huwa nazisoma ili kupata the dataz kwa ajili ya JF.
 
MKJJ, nipo tu! Maji yalizidi unga!

Na Nchimbi vipi huko kwenye shingo (NECk?) au kwenye si-si (CC au KK). Anasubiri ateuliwe, au akiibuka ndiyo anakuwa Waziri Mkuu?
 
yUSUPH PUMZIKA UNATAKA NINI AIBU??SI UPUMZIKE TUU BABA KAMA KUCHUMA UMESHACHUMA SANA KAMA ...KUWEKA VZR WATOTO NA FAMILIA IKO SAFI KAMA NETWORK UNAYO KUBWA YA KUTOSHA BADO NINI AU HADI UFUKUZWE??UNA KASHFA KIBAO TENA ZA AIBU SANA KWA UMRI WAKO KUOMBA OMBA PESA KWA WAHINDI....UNASIFIKA KWA HILO...NI AIBU SANA.NG'ATUKA BABU EEHH
 
Mwanakijiji why Kinana and not anybody else? Spin doctors are real needed in our country anymore?
 
Back
Top Bottom