OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,697
Anaitwa Dr.Laulian Ndumbaro Katibu Mkuu Utumishi. Mwishoni mwa June 2016 alitoa waraka wa siri kwa mamlaka za serikali. Pamoja na mambo mengine aliagiza kusitisha ajira zote mpaka itakavyoelekezwa vinginevyo.
Mh.Rais akasisitiza baadae kwamba inaweza kuchukua miezi miwili tu kufanyia kazi mifumo na taarifa za watumishi, baada ya hapo ajira zitaendelea! Kabla hata mwezi kuisha Dr.Ndumbaro amemwaga ajira za u-DAS kwa mamia ya vijana wakiwemo makada wa chama.
Katibu amekiri mwenyewe kuwa zile ni nafasi za kiutendaji na waajiriwa wamepeleka CV na vyeti na ipo haja ya kuwapatia mafunzo. Uko wapi utekelezaji wa waraka wako mwenyewe Dr. Ndumbaro?
Kuna maelfu wa vijana mitaani wanasubiri ajira zilizositishwa, iweje mtoe ajira kimya kimya?Wanasheria na wengine tuliodhurika na jambo hili kwanini tusiende mahakamani kudai haki yetu juu ya kukiukwa kwa mchakato wa ajira?