Katibu Mkuu TFF na Msemaji wa Yanga warushiana maneno mazito na ya kashfa Clouds fm

Hata Mimi nimeshangaa na kujiuliza maswali " lukuki " Mkuu. Labda nyie Wasomi wenzake mtusaidie kutufumbua hapo kuwa Je kuna Masters Degree inayotolewa katika nchi tatu? Mimi nafurahi tu anavyotenda kwani namtumia kama reference kwa Wanafunzi wangu WEREVU, WATIIFU na WAAMINIFU wa Mass Com and Journalism kuwa wasije kukosea na wao wakawa HOPELESS kama huyu Mswahili wa Yanga na nashukuru Mwenyezi Mungu kuwa wamenielewa.
Chukua like 5
 
Kukataa kwako tu kuwa Donald Trump hajawatukana Waafrika ndiko kunazidi tu sasa kunionyesha ni jinsi gani ulivyo absolutely pathetic dull. Kuhusu kujiona niko sawa wala hujakosea Mkuu kwani katika vitu ambavyo vinanipa JEURI na NYODO ni IQ yangu iliyo very extraordinary ambayo nahisi ungebahatika hata tu kuwa nayo theluthi ungemshukuru Mwenyezi Mungu ila yawezekana Mwenyezi Mungu alikuwa na makusudi yake kukuumba kuwa typical lumpen proletariat.
Wewe ni mhaya?
 
Hebu tulia jifunze kuandika basi kwani unaandika hovyo halafu ningeshauri kama unapenda kutumia Kiingereza basi " tiririka " kwa Kiingereza na kama unapenda Kiswahili basi endelea na Kiswahili kwani kuna UTAFITI uliofanyika uliobaini kuwa Wanaume wengi wenye kupenda sana kuandika andika kwa kuweka maneno ya Kiingereza ni members wazuri sana wa kwa " Magomeni mapipa kwa Macheni " hivyo sitaki kuamini kuwa na Wewe ni mmoja wapo na sasa unawawakilisha humu akina " miba mchicha " wenzio.
ww hilo neno "members " ni la kiswahili?
 
Ila tunaweza tusimlaumu sana Jerry, maana ukifanya utafiti mdogo hata ndani ya uongozi wa yanga kuna watu wanamgwaya aidha kwa kupewa kiburi na boss, au wameshagundua kuwa hayuko kawaida! Jerry Muro wa ITV sio huyu, huyu anaropoka mno tena kwa makelele utadhani ugomvi!!
Lipo jambo la kuangalia hapa. Je kuna mahusiano yasiyo ya kawaida kati ya Jeli na Maanj? Huku kujiamini kwa namna hiyo kunaleta hisia nyingine kwa watu wanaelewa mahusiano.
 
A
Safi sana Mkuu ila usisahau pia kuwa Yanga ndiyo timu pekee hapa duniani inayoongoza kuwa na " ****** " waliotukuka wengi huku Simba ikiwa katika top 5 ya Klabu yenye intellectuals wengi. Jerry Muro anawakilisha AKILI na UPEO wa Wana Yanga wote duniani kwa 100%.
afadhari Leo umeonyesha upande uliopo,huko kwenu shida kibao umekomaa na shida za jirani,acha umbea watoto watalala njaa
 
Simba damu lkn Muro namuunga mkono kwa aliyoyasema km ni kusoma kwel kasoma Kwel km VP Katibu mkuu WA tff naye aweke elim yake mezan tff wamezid Sana. ILA MKUU MLETA UZI WE NAE MNAZI umeanza vzr but unamaliza kinazi
 
Anacho nifurahisha na kunistaajabisha Muro ni pale kila akosolewapo anakimbilia kusema 'mimi nina Masters!' hivyo nina akili.Aiseh..
 
Back
Top Bottom