Katibu Mkuu mpya CHADEMA yuko wapi?

Katibu Mkuu mpya CHADEMA yuko wapi?

Mkuu katika maukawa ambayo hua yanaandika ili kujaza servers za JF wewe unashika bendera mkuu, unaandika sana lakini bahati mbaya sana kila unachokiandika ni pumba tu kuanzia asubuhi mpaka asubuhi unaandika ujinga ujinga tu. Kafanye kazi nyingine mkuu, maana hii unayoipenda naona kama vile haikupendi sana, sijawahi kusoma lolote la maana toka kwako.
Kwa hiyo div 5 ukichanganya na ugonjwa wako huo wa stroke daima utaendelea kubakia gizani
 
Kwa hiyo div 5 ukichanganya na ugonjwa wako huo wa stroke daima utaendelea kubakia gizani
Unatatizo la ubongo nakupuuza , Chukua ushauri wangu utakufaa katika maisha yako.
 
Kama umewahi kucheza mpira wa miguu hasa hasa utotoni, zile mechi za mchangani, timu pinzani ikiwa na kipa galasa hua tunasema pale " kuna pazia tu", basi hua tunaongeza juhudi za kutafuta magoli na tunafunga mengi kweli kweli.

Chadema kimepwaya kutokana na sababu za kua na katibu mkuu pazia, hivyo utendaji wake kua hafifu sana.

Huwezi ifananisha Chadema ya miaka miwili iliyopita na hii ya kulia lia. Vilio vinavyodhiihirisha kukosekana weledi kwa mtendaji wao mkuu.

Mtendaji mkuu akiwa galasa basi taasisi nayo hugeuka galasa kulingana na utendaji wa mhusika.

Si ajabu sana, kuona vioja vinavyoendelea sasa huko Chadema, sababu kuu ikiwa ni kukosa katibu mkuu mwenye utendaji uliowa viwango bora.
 
Mashinji (Manywele) amewekwa pale na Mbowe lengo likiwa eti kujaribu kukipa chama mwonekano wa kitaifa na kukivua lile vazi la aibu la Uchaga na Ukaskazini (ukabila na ukanda). Kwa njia hii anafikiri pengine 2050 ataweza kupunguza kipigo cha mbwa mwizi alichokipata kanda ya ziwa kwenye uchaguzi uliopita. Le akili ndogoz...!
Wewe Ndo hamnazooo unafikri Chama hiki Ni Moto WA kifuu.
 
Nyani wa kijani wanajitekenya na kucheka wenyewe, hovyo sana hii mijitu
 
Wanabodi, Katibu Mkuu wa CHADEMA yuko wapi, anafanya kazi gani?
 
Yuko Dodoma, amethibitisha amekubali mwaliko wa CCM wa kuhudhuria mkutano mkuu hapo 23/7/2016
 
Wanabodi, Katibu Mkuu wa CHADEMA yuko wapi, anafanya kazi gani?

Pesa zake na marupurupu yake mnamlipa kama mlivyokubaliana naye? Nasikia Makao makuu kweupe pesa zimekombwa kulipa watu wanaoitwa walikikopesha chama wakati wa uchaguzi mkuu wakati ni fix tu madeni yenyewe wala hayajahakikiwa mtu anajitamkia tu mimi nilitoa bilioni kadhaa nipeni kupitia ruzuku.

Kuna UKATA wa kutisha wafanyakazi wengi hawajalipwa wakiwemo na madreva wa Chama.

Mnataka aongee wakati hata kula hajala si ataishia kupiga miayo
 
Eti hizi ndio propaganda za vijana wa Lumumba .........
Wakati unaziita ni propaganda inatakiwa tuone kazi inayofanyika na mashinji,wakati chama kinaangamia wewe unasema hizi ni propaganda
 
Back
Top Bottom