Katibu Mkuu mpya CHADEMA yuko wapi?

yupo arusha anaimarisha chama
 
Ukitaka kujua jambo chunguza kwanga Alf upost siyo kuongea kama kanda kazi ya katibu umeambiwa ni sanaa awe kwenye kioo kila saa ukitaka kupata utajiri usianze kwa hela nyingi
 
Huyu alieitwa katibu mkuu msomi kuliko wote duniani kwa vyovyote huenda akawa hayafahamu majukumu yake sawasawa ama amepatiwa fani si yake.
 
Twambie kwanza kinana yuko wapi tangu uchaguzi mkuu umalizike ajaonekana?
Huwezi fananisha ukimya wa kinana na katibu mkuu mgeni,hakuna asiefahamu mziki wa kinana muulize fisadi wa richmond atakwambia kuhusu mzee Kinana.
huyu mgeni anatakiwa aoneshe makali yake bt huyu hayajui majukumu yake
 
Sawa,mhudumuuuuu ebu niletee ndovu mbili bariiiiidiiiiiiii
 
Haaahaaa "the ndovu" yupo wapi...? Au naye ni kujipu
 
Si mulesema uchaguzi umeisha watu wapige kazi??sasa wewe unata umsikie tu ndo ujue yupo?
 
Nadhani atakuwa anaorganise mgomo wa madaktari mana mojawapo ya sifa zilizomuweka madarakani ni sababu alishawahi kuwa kiongozi wa mgomo na hivyo siyo muoga.
 
Yule siyo kiongozi ni shati tu lakini ndiyo shida ya kuwa na mwenyekiti asiyekuwa na upeo wa mbali.
Vipi kinana ameshaenda kuikomboa meli yake iliyokamatwa na meno ya bia fulani
 
Yule siyo kiongozi ni shati tu lakini ndiyo shida ya kuwa na mwenyekiti asiyekuwa na upeo wa mbali.
Kama yeye ni shati basi wewe ni khanga,yaani mtu na akili zako unatumia picha ya mwanaume mwenzako kama AVATAR?umetuaibisha sana ina maana unamkufuru mungu kwa kukuumba kwa sura yako na ukaona sura ya muhongo ndio bora?
 
Inaonekana katibu mkuu huyu si chaguo la wengi, isitoshe umri wa kadi yake ya uanachama wa Chadema ni chini ya miaka miwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…