KATIBU MKUU CHADEMA NI DR.VICENT MASHINJI

KATIBU MKUU CHADEMA NI DR.VICENT MASHINJI

Hapo ndipo Chadema wanaponichekeshaga....

wanateua katibu mkuu MSOMI halafu mwenyekiti wake degree anaisikia na kuiona kwenye magazeti

mbaya zaidi katibu mkuu msomi anazungukwa na kina sugu, lema, jay akitoa point ya maana wanamuona msaliti

anyway hivi chadema uchaguzi wa MWENYEKITI utafanyika lini??

samahani lakini
Pumbavu, humjui huyu katibu mkuu mpya,shut up.
 
Hongera sana kaka , umekipigania chama sana hata kama sauti yako haikusikika publically, but I know you, you do what you believe bro, go go goooo mashinji
 
CV YAKE KWA UFUPI:
Professional experience
Clinical Advisor & TB/HIV lead

UMSOM-IHV

July 2008 - Present

ART Program Doctor/IMA team lead

IMA Worldhealth

August 2006 - June 2008 (1 year 10 months)

Medical Officer/Anaesthesiology

Regency Medical Centre

October 2005 - August 2006 (10 months)

Medical Officer

Muhimbili National Hospital

August 2003 - October 2005 (2 years 2 months)

Research Assistant

Freelance

November 2002 - August 2003 (9 months)

Intern Docor

Muhimbili National Hospital

September 2001 - October 2002 (1 year 1 month)

Education history
Open University of Tanzania

PhD

August 2010 - Present

AMREF/UCLA Anderson School

MDI Certificate

April 2010 - April 2010

Blekinge Institute of Technology

MBA

September 2007 - March 2010 (2 years 6 months)

UMSOM-IHV

IPEP Certificate

May 2008 - May 2008

Evin School of Management

Certificate in CSR

October 2005 - October 2005

Muhimbili University College of Health Sciences

MMed/Anaesthesiology

September 2003 - April 2005 (1 year 7 months)

Muhimbili University College of Health Sciences

Certificate in Research Methodology

September 2004 - September 2004

Makerere University

MBChB

October 1995 - July 2001 (5 years 9 months)

Mzumbe High School

ACSEE

July 1992 - June 1994 (1 year 11 months)

St. Pius X Seminary, Makoko

GCSEE

January 1988 - October 1991 (3 years 9 months)

Iligamba Primary School

Leaving Certificate/Primary School

January 1981 - October 1987 (6 years 9 months
Tusubiri tuone utendaji wake.
 
Hapo ndipo Chadema wanaponichekeshaga....

wanateua katibu mkuu MSOMI halafu mwenyekiti wake degree anaisikia na kuiona kwenye magazeti

mbaya zaidi katibu mkuu msomi anazungukwa na kina sugu, lema, jay akitoa point ya maana wanamuona msaliti

anyway hivi chadema uchaguzi wa MWENYEKITI utafanyika lini??

samahani lakini
Funga bakuli zumbukuku wewe
 
Naupongeza mkutano uliokaa Jana CREST HOTEL,MWANZA, kwa kutuletea katibu mkuu stahiki kijana mchapakazi msomi atakayetuvusha salama !!/ kwa kushindana kwa hoja na vitendo katika kukiimarisha upya CHADEMA.
....sijui watakuwa na lipi la kusema!
 
Hapo ndipo Chadema wanaponichekeshaga....

wanateua katibu mkuu MSOMI halafu mwenyekiti wake degree anaisikia na kuiona kwenye magazeti

mbaya zaidi katibu mkuu msomi anazungukwa na kina sugu, lema, jay akitoa point ya maana wanamuona msaliti

anyway hivi chadema uchaguzi wa MWENYEKITI utafanyika lini??

samahani lakini
Hahahahaaaaaaaa Nyani kuona KUNDU bado ni Shida sana hahahaaaaaaa
..akili mbovu kikwete alikuwa na degree moja bt baraza lina Masterz/PhD/Prof.. Acha wehu wewe
 
Haiba hana.
CVs
*****
Wasifi (CV) ya Katibu Mkuu mpya
wa Chadema.
JINA: Dr.Vincent Mashingi
UMRI: Miaka 43
KABILA: Msukuma
TAALUMA: Daktari bingwa wa
binadamu (MMED) na Daktari wa
Falsafa (PhD).
ELIMU:
1981 - 1987 Elimu ya Msingi
(Shule ya msingi Iligamba)
1988 - 1992 Elimu ya Sekondari
(St.Pius seminary)
1992 - 1994 A-Level PCB
(Mzumbe High School).
1995 - 2001 Chuo Kikuu cha
Makerere (Degree ya Udaktari MD)
2003 - 2005 Chuo Kikuu Kishiriki
Muhimbili (Shahada ya pili -
udaktari bingwa (MMED
Anaesthesiology).
2004 - 2004 Chuo Kikuu Kishiriki
Muhimbili (Astashahada ya Utafiti)
2008 - 2010 Evin School of
Management (Shahada ya Uzamili
(Masters) ya Public Relations
(CSR)
2007 - 2010 Blekinge Institute of
Technology (Shahada ya pili
(Masters) ya Usimamizi wa
biashara, MBA)
2010-2010
University of Carlifonia - Anderson
School (Stashahada ya
Management Development)
2008 - 2008 University of
Maryland School of Medicine
(Astashahada Human Virology)
2010 - 2016 Chuo Kikuu Huria
Tanzania (Shahada ya uzamivu
(PHD) ya Uongozi.
UZOEFU WA KITAALUMA,
2001 2002, Daktari wa mazoezi -
Intern doctor (Hospitali ya taifa
Muhimbili)

1924268_1197295483615682_3895480067665735106_n.jpg

12821419_1257377197625132_9063221834460461556_n.jpg
 
Back
Top Bottom