KATIBU MKUU CHADEMA NI DR.VICENT MASHINJI

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,052
23,501
CVs
*****
Wasifi (CV) ya Katibu Mkuu mpya
wa Chadema.
JINA: Dr.Vincent Mashingi
UMRI: Miaka 43
KABILA: Msukuma
TAALUMA: Daktari bingwa wa
binadamu (MMED) na Daktari wa
Falsafa (PhD).
ELIMU:
1981 - 1987 Elimu ya Msingi
(Shule ya msingi Iligamba)
1988 - 1992 Elimu ya Sekondari
(St.Pius seminary)
1992 - 1994 A-Level PCB
(Mzumbe High School).
1995 - 2001 Chuo Kikuu cha
Makerere (Degree ya Udaktari MD)
2003 - 2005 Chuo Kikuu Kishiriki
Muhimbili (Shahada ya pili -
udaktari bingwa (MMED
Anaesthesiology).
2004 - 2004 Chuo Kikuu Kishiriki
Muhimbili (Astashahada ya Utafiti)
2008 - 2010 Evin School of
Management (Shahada ya Uzamili
(Masters) ya Public Relations
(CSR)
2007 - 2010 Blekinge Institute of
Technology (Shahada ya pili
(Masters) ya Usimamizi wa
biashara, MBA)
2010-2010
University of Carlifonia - Anderson
School (Stashahada ya
Management Development)
2008 - 2008 University of
Maryland School of Medicine
(Astashahada Human Virology)
2010 - 2016 Chuo Kikuu Huria
Tanzania (Shahada ya uzamivu
(PHD) ya Uongozi.
UZOEFU WA KITAALUMA,
2001 2002, Daktari wa mazoezi -
Intern doctor (Hospitali ya taifa
Muhimbili)

1924268_1197295483615682_3895480067665735106_n.jpg

12821419_1257377197625132_9063221834460461556_n.jpg
 
Hapo ndipo Chadema wanaponichekeshaga....

wanateua katibu mkuu MSOMI halafu mwenyekiti wake degree anaisikia na kuiona kwenye magazeti

mbaya zaidi katibu mkuu msomi anazungukwa na kina sugu, lema, jay akitoa point ya maana wanamuona msaliti

anyway hivi chadema uchaguzi wa MWENYEKITI utafanyika lini??

samahani lakini
 
***
2017
 
Hapo ndipo Chadema wanaponichekeshaga....

wanateua katibu mkuu MSOMI halafu mwenyekiti wake degree anaisikia na kuiona kwenye magazeti

Kutwa kuhangaika na kusubiri katibu mkuu wa Chadema hivi mumeo huwa unamshuhurisha saa ngapi?.Lumumba buku 7 watakuvunjia ndoa elfu 7 itakuharibia maisha na ndoa
 
katibu kapatikana sawa na tuna imani naye, sasa in zamu ya mwenyekiti mpya pia!
 
Hapo ndipo Chadema wanaponichekeshaga....

wanateua katibu mkuu MSOMI halafu mwenyekiti wake degree anaisikia na kuiona kwenye magazeti

mbaya zaidi katibu mkuu msomi anazungukwa na kina sugu, lema, jay akitoa point ya maana wanamuona msaliti

anyway hivi chadema uchaguzi wa MWENYEKITI utafanyika lini??

samahani lakini

Mbn mnakuwa wa kwanza kucoment jaman????

Polen sana. laleni tu kama vip. Mbn mnaumia hivo?
 
Ime wagusa kumoyo mlidhani tuta potea kwamwenyekiti tulieni 2017 mta msikia mpya kabisaaa.
 
Hapo ndipo Chadema wanaponichekeshaga....

wanateua katibu mkuu MSOMI halafu mwenyekiti wake degree anaisikia na kuiona kwenye magazeti

mbaya zaidi katibu mkuu msomi anazungukwa na kina sugu, lema, jay akitoa point ya maana wanamuona msaliti

anyway hivi chadema uchaguzi wa MWENYEKITI utafanyika lini??

samahani lakini

Yule mwenyekiti wenu aliyeuza nchi hivi ana phd ya nn vile..,

Ila siyo fair kuna katibu mkuu mwingine ni mwindaji halafu eti ni jipu sijui ndo inakuwaje sasa.
 
Yule mwenyekiti wenu aliyeuza nchi hivi ana phd ya nn vile..,

Ila siyo fair kuna katibu mkuu mwingine ni mwindaji halafu eti ni jipu sijui ndo inakuwaje sasa.

naongelea unaleta PHD anyway ni kuwa jamaa yetu aliyekuwa anagombea kiti cha Urais ambaye kwa sasa ni rais ni DR na jamaa yenu aliyekuwa anagombea urais ana masters ya maigizo umeona tofauti yetu?
 
Hongera Sana Dk mashinji hii ni heshima kubwa Sana kwako na Kwa familia yako.kwa Hali ya sasa ya kisiasa ndani ya nchi yetu huu ni wakati ambao vituo vyote vya Polisi na Mahakamani kuna kuwa sawa na sebreni kwako ,segerea ,kisongo,Ruanda ,maweni ,ukonga nk kuna kuwa sawa na nyumbani kwako .
 
CV take tafadhali
CV YAKE KWA UFUPI:
Professional experience
Clinical Advisor & TB/HIV lead

UMSOM-IHV

July 2008 - Present

ART Program Doctor/IMA team lead

IMA Worldhealth

August 2006 - June 2008 (1 year 10 months)

Medical Officer/Anaesthesiology

Regency Medical Centre

October 2005 - August 2006 (10 months)

Medical Officer

Muhimbili National Hospital

August 2003 - October 2005 (2 years 2 months)

Research Assistant

Freelance

November 2002 - August 2003 (9 months)

Intern Docor

Muhimbili National Hospital

September 2001 - October 2002 (1 year 1 month)

Education history
Open University of Tanzania

PhD

August 2010 - Present

AMREF/UCLA Anderson School

MDI Certificate

April 2010 - April 2010

Blekinge Institute of Technology

MBA

September 2007 - March 2010 (2 years 6 months)

UMSOM-IHV

IPEP Certificate

May 2008 - May 2008

Evin School of Management

Certificate in CSR

October 2005 - October 2005

Muhimbili University College of Health Sciences

MMed/Anaesthesiology

September 2003 - April 2005 (1 year 7 months)

Muhimbili University College of Health Sciences

Certificate in Research Methodology

September 2004 - September 2004

Makerere University

MBChB

October 1995 - July 2001 (5 years 9 months)

Mzumbe High School

ACSEE

July 1992 - June 1994 (1 year 11 months)

St. Pius X Seminary, Makoko

GCSEE

January 1988 - October 1991 (3 years 9 months)

Iligamba Primary School

Leaving Certificate/Primary School

January 1981 - October 1987 (6 years 9 months
 
Back
Top Bottom