Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,290
- 2,438
Yupo ofisi moja na chakubanga unadhani afanyeje?Haha haha bashiru anaucheza wimbo wa ccm. Pole sana kaka
Hiyo Id yako inakuhukumuWashadadiaji wa Matamko hatujifunzi. Ingalikuwa matamko ya Taasisi na balozi mbalimbali ndio suluhisho ya mabadiliko, Dr Shein leo asingalikuwa Rais wa Zanzibar. Nachokiona siku zote, matamko yanasaidia kupoza mioyo ya waathirika na kutoa matumaini hewa. Pamoja na matamko ya EU toka 2015 juu ya uchaguzi hadi utawala wa JPM, Pamoja na wapinzani kusambaza mapicha wakiwa ofisi za balozi hizo wakiwa na flash za Nassari, usingetarajia Uingereza juzi kutoa Mabilioni ya msaada ktk Elimu, mapambano ya rushwa kwa Dikteta[emoji23][emoji23][emoji23]
Shamra Shamra za kampeni hizo,kila chama kilifanya vituko,ninazo picha za makamanda wako Kiroba balaa!!..huku wamelala mitaroni bila suruali...niziweke hapa?!!Unaweweseka wewe kazi yako ni kucheza sindimba ili wakubwa wanywe gahawaView attachment 839587
Basi tuanze kuziweka kama hukuhama jukwaa na kwenda fb uliko zoeaShamra Shamra za kampeni hizo,kila chama kilifanya vituko,ninazo picha za makamanda wako Kiroba balaa!!..huku wamelala mitaroni bila suruali...niziweke hapa?!!
Mabepari wakati Kila kitu ni kwa hisani ya msaada wa watu wa MarekaniDr.Bashiru amewapa za uso hao mabepari.
Nikikumbuka misimamo yake pale FASS tower udsm PS dept. aisee if you want to know man's character give him power. Alisema Abraham LincolnYupo ofisi moja na chakubanga unadhani afanyeje?
Siku hizi tunaangalia mashariki zaidi Uchina ns sio India.Mabepari wakati Kila kitu ni kwa hisani ya msaada wa watu wa Marekani
Sifa za Wamawia kwetu ni ulozi na kula nyama za watu😂😂😂Hiyo Id yako inakuhukumu
Kama unavyo liwa weweSifa za Wamawia kwetu ni ulozi na kula nyama za watu[emoji23][emoji23][emoji23]
Zile za jecha?, kama mko vizuri mbona mnaweweswa na kipeperushi?, alafu imetajwa tume na polisi nyie yamewafikaje? Ama ndo ile POLICCM?Ni kweli tangu 95 ni matamko na serikali imeendelea kuwa imara na chaguzi zimefanywa walioshindwa wametulia!
Huyo amelewa madaraka.........Hivi Magufuli huwa anasoma haya maandiko kweli ?
Si unawaona wale walio toka ACT?Nikikumbuka misimamo yake pale FASS tower udsm PS dept. aisee if you want to know man's character give him power. Alisema Abraham Lincoln
Anacho angalia ni kupiga zumari kumfurahisha bwana mkubwa na mkono uende kinywaniHuyu Bashirru Ally heshima aliyokuwa nayo nyuma sasa imkwisha kabisa, hapo alipo ANAJIDHALILISHA TU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
Na wewe karibu unifaidi😂😂Kama unavyo liwa wewe
Ngoja uchaguzi mkuu pia mtasema nchi nzima inajidhalilisha.Huyu Bashirru Ally heshima aliyokuwa nayo nyuma sasa imkwisha kabisa, hapo alipo ANAJIDHALILISHA TU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
Mimi bahati mbaya siyo bashaNa wewe karibu unifaidi[emoji23][emoji23]
Mtu kamamtatiro hakuna aliyetegemea aisee lakini yawezekana atakayeikomboa nchi hii hata asiwe msomi trust me. Time will tellSi unawaona wale walio toka ACT?