Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,540
- 139,855
Kikatiba....Mkuu wa Mkoa hatakiwi kuanzisha ujenzi wa ofisi za chama.
Kaona kamsifia, kumbe kaonesha udhaifu.
Hivi hakuna maisha nje ya uteuzi? Hawa vijana wanajilemaza sana.Na soon Dogo atalamba uteuzi...
Argue with your keyboard
Uko sahihiKikatiba....
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM mkoa.....
#Siempre JMT🙏
Kikatiba....Mkuu wa Mkoa hatakiwi kuanzisha ujenzi wa ofisi za chama.
Kaona kamsifia, kumbe kaonesha udhaifu.
👍Uko sahihi
Hiyo haiondoi basic conflict of interest kati ya matumizi ya resources za serikali na chama.Kikatiba....
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM mkoa.....
[emoji106]
Viongozi wako dailema maana hawajui hangaya yuko upande gani kuhusu huyu kijana mwenye kiburi.
Katiba ya ccm haiongozi NchiKikatiba....
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM mkoa.....
#Siempre JMT[emoji120]
Lete ibara ya Katiba ya Tanzania inayoeleza hilo , mnalishana ujinga tuUko sahihi
Katiba ya JMT haina kipengere hicho,ila katiba ya Chama cha Mapinduzi inachoLete ibara ya Katiba ya Tanzania inayoeleza hilo , mnalishana ujinga tu
ni katiba gani inayofuatwa huko kwenu , kati ya ile ya kichovu ya ccm na chakavu ya serikali ?Katiba ya JMT haina kipengere hicho,ila katiba ya Chama cha Mapinduzi inacho
Zote mbilini kitiba gani inayofuatwa huko kwenu , kati ya ile ya kichovu ya ccm na chakavu ya serikali ?
Mwambie huyo na Bila kusahau hata mkuu wa wilayaKikatiba....
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM mkoa.....
#Siempre JMT[emoji120]
na wote ni wajumbe wa rais wa ccmMwambie huyo na Bila kusahau hata mkuu wa wilaya