Katibu CCM kata ya maili moja kibaha ajiunga na CHADEMA

Katibu CCM kata ya maili moja kibaha ajiunga na CHADEMA

USTAADHI

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
1,516
Reaction score
136
WAKUU
Kwenye mkutano uliofanyika mjini kibaha chini ya Mwkt wa BAVICHa John Heche akiambatana na Sugu (mb) na Msigwa (mb)
Katibu CCM kata ya maili moja Ndg Mathius (Picha) aljiunga na Chadema ,
 
attachment.php

Hawataishia kusema hakuwa mwanachama, kwani alishatimuliwa!
Subiri uone.
 
Uhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa unachokipenda.
 
Aangalie wasije wakampa sumu wale alowaacha baada ya kuona hawafai!!
 
hana lolote huyo namfaham sana,ni tapeli tapeli ivi.anaweza akawa shibuda mwngne huyo.
 
Back
Top Bottom