Katiba ya CHADEMA na muda wa Uongozi

Katiba ya CHADEMA na muda wa Uongozi

Ccm hapa imeingiaje inakufanya usilale kuiwaza ccm bavicha mnavioja.

Nyie si ndio kila siku mnashoboka kingese ya kwamba uongozi uliopo unang'ang'ania madaraka ilhal muda muafaka bado.,kisa???Uongozi uliopo ni makini unawatoa mashuzi all da time pyuuuuuuuuuuuuu.
 
Kuna nini cha msingi cha kusogezea uchaguzi mbele?! Yani hofu tu kwamba zito naye atachukua fomu ya kugombea uenyekiti ndo mnaamua kusogeza mbele mpaka pale mtakapomaliza kumfukuza uanachama ndo muitishe uchaguzi!

Zitto hata akicheza delaying game mpaka ikafika wakati wa uchaguzi, jina lake litakatwa akakimbilie mahakamani kusitisha uchaguzi ili tuendelee na viongozi wetu kama kawa.
 
Now you are talking.Lakini,sisi tunataka mfanye mwaka huu na ikiwezekana kesho ha ha ha ha ha ha ha ha

Du, mwaka huu kaaaaaaaaaaazi kweeeeeeeeli kweli, mmeng'ang'ana na CDM, tunawaambia Mbowe bado anatufaa lakini hamsikii au mnatumia ma....lio kusikia?
 
SIMIYU YETU;

Hujui CCM inaingiaje hapa? Simple; ni kwa sababu CCM ndiyo sumu ya kila mtanzania na mara iingiapo ktk mwili ni mara moja kuitoa!!

CHADEMA twende kazi,songeni mbele.....Kuachia ngazi kwa F.A. MBOWE (Mwenyekiti - Taifa) na DR W.P.SLAA (Katibu Mkuu mtendaji Taifa) kwa sasa kwa njia yoyote na hasa kwa shinikizo la CCM na wapambe wao (wa ndani na nje ya chama) kabla ya uchaguzi Mkuu wa 2015,wallah ni ushindi mkubwa mno kwao na watafanya sherehe mchana kutwa na usiku kucha siku hiyo!!

Napendekeza uchaguzi ndani ya CHADEMA ufanyike baada ya uchaguzi mkuu wa 2015.....Tuna imani kubwa mno na hawa jamaa,kelele hizi zote za wapinzani na watani wao CCM ni hofu tu juu ya uwepo wao kwa sababu wanawapatia vilivyo na ushawishi wao ktk jamii ya kizazi hiki cha leo ni kupeleka taarifa za kifo na mazishi ya CHAMA CHA MAJANGILI a.k.a C.C.M!!...
 
Uchaguzi wa SACCOS ni hadi MTEI aamue maana yeye ndo mwenye kumiliki SACCOS

Uchaguzi ndani ya CCM Taifa
1. Mwenyekiti alipita bila kupingwa kura 100%
2. Makamu Mwenyekiti Bara & Visiwani walipita bila kupingwa 100%

Je kwa akili zako za kushikiwa chaguzi ndani ya CCm zinafuata Demokrasia?
 
Uchaguzi ndani ya CCM Taifa
1. Mwenyekiti alipita bila kupingwa kura 100%
2. Makamu Mwenyekiti Bara & Visiwani walipita bila kupingwa 100%

Je kwa akili zako za kushikiwa chaguzi ndani ya CCm zinafuata Demokrasia?

Utakuwa mjumbe wa kamati tendaji ya SACCOS ya Mtei
 
Tume huru ya uchaguzi kama kwenye vyama vya siasa haipo hata kitaifa haifai kuwepo, hakuna haja ya kurekebisha daftari la wapiga kura. Na kama vyama vya siasa havifuati katiba zao, nafikiri hakuna haja ya kuandika katiba mpya.
 
Toa hoja.Toa sababu

Ni lazima usogezwe mbele maana kuna mijitu imeshakusanya hela badala ya kupeleka huduma madawa na vifaa mahospitalini au kutengeneza barabara na kuboresha huduma za umeme na maji wao wanasubiri kwa hamu kuuhujumu huu uchaguzi....ili wapandikize majitu yao yatibue mipango ya kuchukua nchini...

CHADEMA UCHAGUZI 2016 asietaka ajinyonge au ahame nchi...
 
CHADEMA ishawahi kuwa na "term limits"? Kama zilikuwepo ziliondolewaje?

Tuhuma nilizozisoma mimi ni kwamba kulikuwa na "term limits" hususan kwenye cheo cha uenyekiti, lakini hili liliondolewa kinyemela.

Unaweza ku address tuhuma hizi?

Naona kama ume address tuhuma ambazo hazipo, na zile ambazo zipo huja zi address.
 
Every power tends to corrupt...........and absolute power corrupts absolutely..katiba ni sheria mama..inashereheshwa na sheria nyingine..yenyewe inatoa muongozo tu..katafute sheria nyingine zinazozungumzia uchaguzi ndani ya chama ndio uje utuambie circumstances gani zinaweza kufanya uchaguzi usogezwe mbele au ni busra tu za mwenyekiti kwa mamlaka aliyopewa na katiba?????????
 
CHADEMA ishawahi kuwa na "term limits"? Kama zilikuwepo ziliondolewaje?

Tuhuma nilizozisoma mimi ni kwamba kulikuwa na "term limits" hususan kwenye cheo cha uenyekiti, lakini hili liliondolewa kinyemela.

Unaweza ku address tuhuma hizi?

Naona kama ume address tuhuma ambazo hazipo, na zile ambazo zipo huja zi address.
Mkuu samahani,mimi sijaaddress tuhuma zozote.Kwanza sihusiki.Nimejaribu kudurusu tu Ibara zinazosimamia muda wa uongozi ndani ya Katiba ya CHADEMA. Sikuwa na nia nyingine Mkuu Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Wakati tukifanya mabadiliko ya
katiba mwaka 2006 hatukugusa
kipengele kinachomzuia kiongozi
kuongoza kwenye nafasi moja
kwa zaidi ya vipindi viwili vya
miaka mitanomitano. Lakini wakati katiba inachapwa chini ya
uongozi uliopo, kipengele hicho
kiliondolewa kinyemela. Mambo
yanayotokea hivi leo
yanaonyesha dhahiri kipengele
hicho kiliondolewa kwa makusudi kwa maslahi na kwa faida ya
viongozi waliopo madarakani kwa
sasa. Hiki kinaweza kuchukuliwa
kama kitendo kidogo lakini kama
viongozi wetu wanaweza
kutokuwa waaminifu katika jambo kama hili, ni dhahiri hawawezi
kuaminika na wanaweza kufanya
mambo mengine makubwa
nayenye athari zisizomithirika kwa
chama.
MSITURUDISHE NYUMA.HAPO MPAKA KIELEWEKE.
 
Mkuu samahani,mimi sijaaddress tuhuma zozote.Kwanza sihusiki.Nimejaribu kudurusu tu Ibara zinazosimamia muda wa uongozi ndani ya Katiba ya CHADEMA. Sikuwa na nia nyingine Mkuu Kiranga

The questions still stand, kama kada wa CHADEMA, una majibu?
 
Ukifika wakati Muafaka, utafanyika uchaguzi, na Mbowe ataondoka, lakini sio sasa. Kwa sasa Mbowe ni Nyerere wetu.


Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh. Chaga Development manifesto kweli ni chama cha wacheza Disco
 
Kama huna chama utajuaje katiba ya chadema kama siyo wa ccm wewe maana huwa hamsemi wazi kuwa ni wale wenye akili za kijani yaani za msimu? nawewe ni mzigo kama mawaziri wako nape anawajua na anawalea kama wahitaji.
 
Katiba yao wameshaikiuka, unless wafanye uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu. Katiba yao wenyewe yani chadema inasema uchaguzi utasogezwa mbele kwa maximum ya mwaka mmoja. Sasa kufanya uchaguzi baada ya uchaguzi mkuu katiba yao kwa kipengele kingine watakuwa wameivunja tena.
 
uchaguzi mkuu ni 2015 december kamanda wa Anga lazima atuvushe uchaguzi mkuu, mwenye wivu ajinyonge. CCM mnajitahidi sana kuingiza mamluki wenu, mwaka huu subirieni dakika tisini.

Nia tunayo sababu tunazo, uwezo tunao watu makini tunao- nyenzo tunazo na uzalendo tunao moja kwa moja ikulu.
 
Back
Top Bottom