madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
Sababu hawezi wacha chama yao ya ugali tujipange na mbinu tuwazidi maujanja zaidi!Walijazana Idodomya wakaachia huku goli likaingia
Sababu hawezi wacha chama yao ya ugali tujipange na mbinu tuwazidi maujanja zaidi!Walijazana Idodomya wakaachia huku goli likaingia
Kwa hiyo unathibitisha kwamba TISS hufanya vetting ndani ya CCM.
Kama vetting zenyewe ni za aina ya watu kama Bashite wanaoaminiwa basi kama Taifa tumekwisha
mjinga ni yeyemjinga ni mimi au wewe uliyedumu katika utumwa ndani ya nchi yako miaka nenda miaka rudi?
Kama ndio hufanya vetting ktk vyama vya siasa basi ndio sababu hatupati viongozi sahihi.we unadhani rais wa nchi anapitishwa kiholela holela tu.
Mods wameinyofoaMbona sioni uhusiano wa story yako na hiyo picha?
Kwani alipokuwa PM kina nani walimvet akipitishwa? Hv ni TISS or wananchi wanaoamua nani aongoze? Hv hamkuona US hadi system ilikuwa haimpi support Trump but wananchi waliamuaje? Lets change our way of thinking kwamba kuna watu wana haki sana na nchi yetu kuliko wenginePrecisely..Upinzani wameshindwa kuwaaminisha TISS kwamba wanatosha
Kichekesho ni pale mtu anakuwa vetted out na TISS alafu ninyi mnamchukua mkitegemea atashinda
Poor Minds
Amefikia hadi cheo cha PM hao TISS hawakuwepo?Hapo kwenye vetting ndio watu wengi hawapajuwi, wanafukiri watu wanateuliwa kiholela.
Kwani alipokuwa PM kina nani walimvet akipitishwa? Hv ni TISS or wananchi wanaoamua nani aongoze? Hv hamkuona US hadi system ilikuwa haimpi support Trump but wananchi waliamuaje? Lets change our way of thinking kwamba kuna watu wana haki sana na nchi yetu kuliko wengine
Hivi unaongea nni wwe??? hao waliokuwa wakuu wa mikoa wamesaidia nni taifa mwaka wa 50 huuu??? kwanni ccm wamefanya nni la maana ambao labda UKAWA hawawezi fanya?? ingekuwa serikali ya marekani au kenya sawa ila hii ya TZ ambayo kila siku bungeni inavuliwa nguo ndo mnasema upinzani haiwezi kuiongoza??? r u serious??Haya ni maoni yako, kwasababu hauna ushahidi wowote wa kuwa ukwawa wanamajibu mbadala ya nchi hii. Wengi walio kuwa ukawa hawajawahi hata kuwa wakuu wa wilaya. Uongozi ni precess, na wala sio kitu cha kuotea.
Hamna shida basi wafute vyama vingi tujue moja ssa ya nni kutuchosha kupanga foleni kupiga kura na kulinda kura na kupigwa virungu huku rais anaamuliwa na WATU WACHACHENani amekwambia US system haikuwa ina m support Trump???
Mkuu unajua role gani Director wa FBI alicheza ku twist game?
Hakuna nchi yoyote duniani ambayo kiongozi wa nchi anachaguliwa kwa makaratasi yanaitwa "kura"
Maandiko yako yanatoa mfano halisi wa upinzani tulio nao Tanzania. Mihemko imechukuwa nafasi kubwa kuliko mantiki. Tanzania sio nchi iliyopata uhuru kwa mabavu, Mzee Nyerere alitumia ushawishi mkubwa kuwaonyesha wakoloni kama yeye na taifa la Tanganyika wako tayari kujitawala, na ilikuwa sio kwa maneno bali kwa vitendo. Ungeweza kumuliza mhasisi wa Chadema Mzee Mtei angeweza kukufahamisha vizuri kuhusu historia ya harakati za Uhuru wa nchi yetu.Hivi unaongea nni wwe??? hao waliokuwa wakuu wa mikoa wamesaidia nni taifa mwaka wa 50 huuu??? kwanni ccm wamefanya nni la maana ambao labda UKAWA hawawezi fanya?? ingekuwa serikali ya marekani au kenya sawa ila hii ya TZ ambayo kila siku bungeni inavuliwa nguo ndo mnasema upinzani haiwezi kuiongoza??? r u serious??
Ok jifunze kila kitu kina mwanzo wake...... hata kipindi TANU wanapewa nchi walikuwa hawana uzoefu wa kuongoza serikali uongo ukweli??
sasa wazungu nao wangesema oooh Watanzania hawana uzoefu wa kujiongoza lini tungepata uhuru??? nyerere lini angepewa urais??? na ndio maana tuliita MABADILIKO kma mnataka tu tuishi kwa mazoea eti WAPINZANI HAWAJAWAHI KUWA MA-DC bas na mfute vyama vingi ssa mnaweka uchaguzi wa nni huku mnajua kuna wananchi mamilion watawapigia hao wasiokuwa MA-DC
akili mgando kma hizi ndio zimefikisha taifa lilipo kwa kukariri na BUSINESS AS USUAL..... sasa kma kikwete na mwinyi wamewahi kuwa marais wats so hard kwa upinzani kuingia ikulu?? yaani nchi ambayo ipo top 30 maskini duniani tusibadilishe serkali kisa wapinzani hawajawahi kuwa MADC dah kaz kweli kweli
Mbona unazunguka mbuyu mkuu au hoja umeishiwa maana ur speaking out of point..... eti unalinganisha demokrasia ya south africa ambaye mahakama inaweza mkuta rais ana hatia na tanzania?? judge kweli tz anaweza sema rais kakosea??? u gotta be kiddin me hao EFF kuna demokrasia ndo maana jiji kubwa kma capetown likaanguka kwa upinzani bila figisu kma za ccm kule dar so mfano wako hauna mantiki kwa case study ya bongo maana demorkasia ya south na tz ni tofauti sana by far!Maandiko yako yanatoa mfano halisi wa upinzani tulio nao Tanzania. Mihemko imechukuwa nafasi kubwa kuliko mantiki. Tanzania sio nchi iliyopata uhuru kwa mabavu, Mzee Nyerere alitumia ushawishi mkubwa kuwaonyesha wakoloni kama yeye na taifa la Tanganyika wako tayari kujitawala, na ilikuwa sio kwa maneno bali kwa vitendo. Ungeweza kumuliza mhasisi wa Chadema Mzee Mtei angeweza kukufahamisha vizuri kuhusu historia ya harakati za Uhuru wa nchi yetu.
Unaposema serikali inavuliwa nguo bungeni kila siku, mimi hilo sijaliona. Natamani tungekuwa na upinzani unao hoji sera za chama tawala kuliko mipasho tunayo ipata hivi sasa mpaka inakuwa aibu kuiweka kwenye TV. Sijaona mpinzani anahoji serikali sera za huduma za afya vijijini, sera za viwanda vya samaki kwenye ufukwe wa bahari, sera million 50 kila kijiji na nyingine nyingi. Tunacho kipata kutoka upinzani ni kususa bunge, kususa hotuba ya rais, kuziba modomo, na kuchukulia dola kama adui yao namba moja. Kweli hivi ndivyo fedha zetu za ruzuku zinavyotumika? Million 10 kila mwezi (mshahara wa mbunge), na tunaishia watu kukimbizana na polisi kila kukicha.
Chma cha UKIP cha Uingereza kilianzishwa mwaka mmoja na Chadema, leo hii UKIP kimeweza kushawishi wananchi wa uingereza kujitowa EU kupitia kura ya maoni. Sio kwa fujo wala kawa hila, bali kwa sera. EFF chama chenye umri mdogo wa miaka miwili tuu, leo hii kina wabunge 25 na 6% ya kura kutoka kwa wananchi. Niambie vyama vya upinzani Tanzania ambavyo vimekuwa kwenye siasa kwa zaidi ya miaka 20 vingine hata ofisi hakuna, fedha ya ruzuku inaishia kutetea wanachama wake mahakamani wengine wanajiingiza kwenye chama just to get a free ride on court expenses. Kweli tuna upinzani Tanzania?? Unatuambia tufute vyama vingi, kwani ni vigumu kwa chama kufata utaratubu na kujifuta chenyewe??
Mbona unazunguka mbuyu mkuu au hoja umeishiwa maana ur speaking out of point..... eti unalinganisha demokrasia ya south africa ambaye mahakama inaweza mkuta rais ana hatia na tanzania?? judge kweli tz anaweza sema rais kakosea??? u gotta be kiddin me hao EFF kuna demokrasia ndo maana jiji kubwa kma capetown likaanguka kwa upinzani bila figisu kma za ccm kule dar so mfano wako hauna mantiki kwa case study ya bongo maana demorkasia ya south na tz ni tofauti sana by far!
2. Unavyosema wapinzani hawahoji je umewahi kupitia hotuba za kambi rasmi ya upinzani au hata kusoma majedwali ya mapendekezo kutoka KUB au bajeti kivuli ushawahi soma??? kma hujasoma ni vzuri utafute hizo nakala usome zitakufungua mawazo kumbuka bunge lililopita mnyika na lisu walichangia kuliko wabunge wote wa tanzania na waliuliza maswali mengi sana kuliko wabunge wote ssa unataka kusema hotuba zilikuwa hazina mashiko ya kugusia masuala kma hayo mbona wameongelea pensheni ya wazee juzi tu hapa mbatia kaongelea sekta ya utali zitto kaongelea elimu na afya ssa hayo huyaoni ama kisa bunge halipo live ndio unaamini wapinzani wamelala tu??
3. Chama gani hakina ofisi?? chadema mshaambiwa yale majengo wameyanunua toka 2012..... hizo kesi za mahakamani si mnarundika nyie ssa mnataka wafungwe jela tu bila kutetewa?? r u out of ur senses
4. Kuhusu nyerere unasema aliweza kuwashawishi ndo nakuuliza ssa je nyerere aliwahi kuwa rais wa nchi yoyote kabla hajaongoza tanzania???? eti??
HOJA ulioleta wwe ni kwamba wapinzani hawana uzoefu wa uongozi kisa hata u-DC hawajawahi upata hivyo watapewaje serkali?? ndo mmi nikajibu kuwa kila kitu kina mwanzo wake hta TANU waliongoza nchi kwa mara ya kwanza ssa kwanni chadema/cuf wasiongoze nchi kwa mara ya kwanza pia??? kma ni wanachama mbona na chadema imetapakaa kma TANU tu na kura mamilion tunavuna kila mwaka........ be serious mkuu hii hoja yako mfu sana haina mashiko kabisa bora ukae kimya kama huna hoja kuliko kujidhalilisha kwa ma great thinker
Mkuu unaishi Tanzania??? au kazi zako ni za (bungarrow-gari-ofisini-mall-bungarrow) yaani unaishi maisha ya majuu hta kma uko afrika??? pliz ujibu hili maana nashangaa leo hii unauliza kma polisi anaweza wapa audience upinzani??? hivi unajua maana ya upinzani hapa afrika au tanzania??? dola ingekuwa haiwanyanyapai wapinzani unafkiri wapinzani wangeichukia serikali pia??Nimesema mwanzo na narudia tena mihemko inauwa vyama vya upinzani Tanzania. If opposition could take one minute and look themselves in the mirror asking what they really want, kutawala au kubaki kuwa wapinzani. Maana makosa ni mengi sana, tena mengi ni assuming tuu. Unasema unawezaje kumkosowa rais wa Tanzania, really??? Hili nalo ni gumu kwa chama kilicho na usajili kufanya?? Matokeo yake badala ya kukosowa wanaishia kutukana .....dictator uchwara, rais mtukufu, huku sio kikosowa bali ni kumtukana mtu na ku-undermine his authority.
There is serious case ya upinzani kujibadili, nurturing of young leaders ni kitu ambacho kimeshidikana. Mwl Nyerere wakati anachukuwa nchi alijitahidi kukusanya all talents from left right and centre, mpaka akaazima viongozi kutoka kwa mkoloni, japo lengo lilikuwa kuwa na serikali ya Tanganyika tuu. Sasa leo hii, chama kama Chadema kinasema tupe nchi tuu, hata Tanu walikuwa hawana uwezo, utalinganksha Tanzania ya 1961 na 2017? Hivi lini Chadema waliomba audience na mkuu wa polisi wakanyimwa, kwanini wanashidwa hata kuwa na mkutano na wakuu wa mikoa au wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama? Hili nalo ni shida kweli?
Vyama ambavyo vilitakiwa kushiriki kikamilifu katika kutafuta mbadala wa matatizo ya watanzania, vimebaki kuwa vyama vya kupingana na kugombana na dola. Sisemi lazima kupendana na kukumbatina na dola, lakini huwezi kupata suluhisho la aina yoyote bila kumshirikisha unayepingana naye, its called common ground.
Kwa mtu niliezaliwa wakati wa Tanu nikakulia Tanu na CCM sidhani picha unayo nichora kama mimi ni mtu wa ofisi, shopping mall na magari ya kifahari, ni sahihi.Mkuu unaishi Tanzania??? au kazi zako ni za (bungarrow-gari-ofisini-mall-bungarrow) yaani unaishi maisha ya majuu hta kma uko afrika??? pliz ujibu hili maana nashangaa leo hii unauliza kma polisi anaweza wapa audience upinzani??? hivi unajua maana ya upinzani hapa afrika au tanzania??? dola ingekuwa haiwanyanyapai wapinzani unafkiri wapinzani wangeichukia serikali pia??
Bungeni hata wakishauri wanaishia kuzomewa na spika anawaburuza tu kibabe...... wakiomba mkutano wananyimwa vibali na wakiruhusiwa ghafla wanapigwa virungu..... haya lwakatre kapeleka vifaa vya hospitali vikakataliwa..... sasa huo ushirikano gani unafkiri upinzani watafanya na serkali??? au unafkiri lisu hapendi kuwa rafki wa dk tulia au magu???
mazingira ya siasa za tz sio rafiki kabisa yaani upinzani ni uadui kwahyo the only way upinznai unefanikiwa hapa tz ni kwa kuretaliate by kusimamia serikali agressively kwa kukosoa na kuwasahuri wanapojikwaa whether bungeni au majukwaani na ndio maana walipata wafuasi wengi ila wakicheka cheka tu kma mrema unafkiri serikali itafanya kazi zake.
2.Nurturing young leader?? really product za vijana wa chadema huzioni?? hao wabunge vijana waliofanya bunge lianze kufatiliwa na hata vijana kupenda siasa walitokea chama tawala?? kina mtatiro mnyika mdee matiko mwalim zitto jusa lisu n.k hizo unafkiri zikipewa nafasi nyeti serkalini haziwezi kazi????
3.Mkuu mifano ya nyerere ni mingi unatoa ila unasahau kuwa hoja yako ni kuwa wapinzani hawana uzoefu wa uongozi wa serikali ndio nauliza tena tukienda na trend hyo tutapata mabadiliko??? hao kina confucius buddha au Mtume muhammad SAW kipindi wanaanza na wenyewe wangeambiwa hawana uzoefu wa kuongoza dini/imani hivyo waaaxhe tu ukristo ulioletwa na YESU ndio uendelee leo hii kungekywa na dini zote hizi????? acha akili mgando mkuu wapinzani kipi wasichoweza kufanya ambacho ccm wamekifanya in 50 years eti kipi hicho hadi useme upinzani hawana uzoefu huo wakati hata mnajeshi polisi lakini ufisadi kma wa epa hamkuuona hadi wapinzani walipousema bungeni ndio leo mnadai HATUNA UZOEFU
ACHA MAWAZO MGANDO.... MABADILIKO HUWA YANA MWANZO HATA NYEREEE HAKUWAHI ONGOZA SERIKALI KABLA YA TANGANYIKA SO IS UKAWA
huwezi kumshawishi nyani ice cream ni tamu zaidi ya ndizi,hii ndio picha kamili ya TISS sababu mfumo uliotumika kukubali vyama vingi ulikuwa wakinadharia tu kuwafurahisha mabwana wakubwa ili tusikose misaada,sababu kama kweli ingekuwa nia yetu kufanya mageuzi yale yakukubali vyama vingi ingeendana pamoja na uundwaji wa katiba mpya acha utungwaji wa sheria hii ya vyama vingi na kuipachi kwenye katiba ilio kuwa inabeba maudhui ya chama kimoja,huwezi kuwa na mfumo wa vyma vingi wakati unampa madaraka makubwa ya kiutendaji raisi yanayo mfanya raisi asiyejua utawala bora kujiona yuko juu ya sheria..!!kwa machache kama hayo huwezi kukitenga chombo hiki kikubwa katika nchi na chama kilicho shika madaraka kama mpaka sasa hii taasisi bado sio huruTukubaliane kitu kimoja, upinzani mmeshindwa kuwashawishi TISS, Jeshi, Polisi hata umaa kwa ujumla kama mko tayari kubeba mzigo wa Tanzania, hili sio jambo lililo fichika.
TISS ina majukumu mengi, moja kati ya majukumu yao, ni kulinda ustawi wa hii nchi. Leo hii nchi ya amani na utulivu, ichukuliwe na watu wasiojielewa mwisho wa siku hakuna Tanzania wala amani.
Jipangeni kwanza ndio muaminiwe.