Katiba mpya!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mzee, Sep 2, 2011.

1. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#1
Sep 2, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,966
Trophy Points: 280
Hivi ktk katiba mpya kiwekwe kifungu kuwa kila mmoja amuoe aliye mtoa bikira. Je! Huyo uliye nae utamuoa au ataenda kwa aliyemtoa bikira?. We utampata wa kuoa au wa kwako wote uliwapata tayar wameshafunguliwa?.
Swal kwenu.

2. M

Mbishi SR Member

#2
Sep 2, 2011
Joined: Jul 21, 2011
Messages: 48
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Hapokazi ipo!!!!
Mi ntakuwa nao kama 8 hivi ila ntmkosa mwenzi wangu (mama watoto)!!!!

3. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#3
Sep 2, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,966
Trophy Points: 280

litakuwa bonge la loss. Mimi binafsi ningekosa wa kuoa. Hata mama watoto wangu pia ningemuacha.

4. mchemsho

mchemsho JF-Expert Member

#4
Sep 2, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 3,158
Likes Received: 143
Trophy Points: 160
Nitakuwa msimbe, bora CcM wasipitishe hicho kifungu, vingnevyo CdM wanaondoa shillingi!

5. m

mamanalia JF-Expert Member

#5
Sep 3, 2011
Joined: Nov 7, 2009
Messages: 671
Likes Received: 8
Trophy Points: 35
mademu wengi wanaolewa second hand.

6. KALYOVATIPI

KALYOVATIPI JF-Expert Member

#6
Sep 3, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 1,419
Likes Received: 13
Trophy Points: 0
labda bikra ya masaburini ndo..... Lkn hzi za milango ya watoto nitakosa nke

7. M

Masuke JF-Expert Member

#7
Sep 3, 2011
Joined: Feb 28, 2008
Messages: 4,606
Likes Received: 108
Trophy Points: 160
Wanaume wengi watakosa wa kuwang'oa maana bikira zingine huondolewa hata na baiskeli au shughuli ngumu ngumu na mijamaa ambayo ilianzia primary inaweza kuoa hata kumi, kutakuwa na mabachelor kibao.

8. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#8
Sep 3, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,966
Trophy Points: 280

hapo simo.

9. THINKINGBEING

THINKINGBEING JF-Expert Member

#9
Sep 5, 2011
Joined: Aug 9, 2010
Messages: 2,726
Likes Received: 854
Trophy Points: 280
Hivi bikra ni kitu cha kweli au ni stori tu.
Mi sijawahi kukiona.

10. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#10
Sep 5, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
hbu waje wa2ambie.................huh

11. B

Bayo Senior Member

#11
Sep 5, 2011
Joined: Jul 2, 2009
Messages: 195
Likes Received: 1
Trophy Points: 0

Bos hii kitu ipo, kama hukufanikiwa kuionja pole sana

12. m

mwl JF-Expert Member

#12
Sep 6, 2011
Joined: May 25, 2011
Messages: 862
Likes Received: 588
Trophy Points: 180
Umerewa haupewi. Tanga zinatengenezwa kibao nenda ukakute bi kikongwe anayo.

Loading...